Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Huyo ni wivu tu unamsumbua achaneni nae me nipo Mwanza lakini Arusha ni level nyingine na ninapapenda Arusha sana sababu naweza kujenga na kuishi vilevile na huo ubaguzi labda kauona yeye watu wa kaskazini wachapa kazi sana majungu na umbea hawana.

Na ninadhani ndio kitu walipotofautiana sababu huyu anaonekana ana majungu mno sijui ni wa kike?

I Tanzania wote wamoja.
 
Duh we dada adi unatia huruma, kisa umeskia huku kuna mabilionea ndio unajipitisha kila muda hahaha. Swali la kizushi hivi wewe umetokea mkoa gani naomba unijibu kwa uaminifu ili tuendelee mbele.
Mnafu upo mkuu tena usiombe uupate uliochanganywa na kuku wa kienyeji na ugali inakua fulu ile laana. Usisahau kunijibu mkoa ulikozaliwa mkuu wangu
Nimezaliwa Tanzania kijana, mambo ya kuuliza watu mikoa waliyozaliwa kaulize wakenya ndio wanaubaguzi kama mnavyowaiga ninyi watu wa arusha.
Wakenya wamechukua fursa zote muhim hapo arusha na nyie mnashangaa tu.
mnawaacha wenzenu masai maporini huko arusha wakiangaika,
badala ya kuwaelimisha masai mshirikiane kuujenga mkoa wenu, halafu ninyi washamba wa arusha mnatuletea story za kitoto hapa JF, tena story za kibaguzi na ukanda.
 
Unaifaham presha wewe ngariba kama jina lako lilivyo.
Mnakeketana hadi leo huko maporini arusha na mila zenu chafu za ukeketaji halafu mnaleta story zenu za kitoto za kibaguzi hapa JF.
Mtanyooka tu.
aah wapi we duanzi huwezi nyoosha mtu humu acha kujifurahisha, na unavyojisaidia hivi humu ndio unaona kuwa unanyoosha raia? hahahaha
 
Huyo ni wivu tu unamsumbua achaneni nae me nipo Mwanza lakini Arusha ni level nyingine na ninapapenda Arusha sana sababu naweza kujenga na kuishi vilevile na huo ubaguzi labda kauona yeye watu wa kaskazini wachapa kazi sana majungu na umbea hawana.

Na ninadhani ndio kitu walipotofautiana sababu huyu anaonekana ana majungu mno sijui ni wa kiume?

I Tanzania wote wamoja.
Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
 
Nimezaliwa Tanzania kijana, mambo ya kuuliza watu mikoa waliyozaliwa kaulize wakenya ndio wanaubaguzi kama mnavyowaiga ninyi watu wa arusha.
Wakenya wamechukua fursa zote muhim hapo arusha na nyie mnashangaa tu.
mnawaacha wenzenu masai maporini huko arusha wakiangaika,
badala ya kuwaelimisha masai mshirikiane kuujenga mkoa wenu, halafu ninyi washamba wa arusha mnatuletea story za kitoto hapa JF, tena story za kibaguzi na ukanda.
Wewe kweli huna akili sawasawa juzi ulikua bize unapost picha za Dar na Mwanza alafu anasema huna ubaguzi, kama ungekua na akili nzuri ungeweka picha za tz nzima ili uoneshe utaifa unaodai unao... alafu hao wakenya unaosema wamedominate Arusha ni kina nani hao? Ebu nitajie kampuni 10 zinazomilikiwa na wakenya unaowang'ang'ania kuwataja hapa kila post ***** uliyekosa soko wewe
 
Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
Me sio wa kaskazini na ninakukanya acha kuhubiri ubaguzi hii ni mbegu mbaya sana unaipanda ujue hii ni platform kubwa sasa ukiulizwa umebaguliwaje unacho cha kusema nimeishi Arusha lakini sijauona huo ubaguzi kwani Arusha hawaishi wa makabila tofauti?

Ndugu zangu wameoa na kuolewa huko na huo ubaguzi sijauona nakukanya tena stop that nonsense hata Rwanda ilianza hivihivi kwenye platform kama hizi sio vizuri kabisa.

I Tanzania wote wamoja.
 
Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
Sasa nikupe homework wewe ngedere.. si umeona picha threader alizozionesha hapa kuelezea uzuri wa jiji la Arusha? je? unakubali ni kweli zinapatikana Arusha? sasa kama wewe ni mzalendo anza kutupia za tz nzima kutoa Dar na Mwanza maana juzi ulishatuonesha, sasa leo endelea na mikoa mingine, ukimaliza kuna swali nitakuuliza kutokana na statements zako eti ARUSHA NI KIJIJINI
 
Huyo jamaa ametoroka mirembe...arusha hapajawahi kuwa na ubaguzi...!
 
Hapa umegusa penyewe.. hutamuona tena au akija atakuja kumwaga pofu kisado
 
Huyu kijana anaweza kudhani ni something funny anasema lakini kina mathara makubwa sana hasa anapokitaja mara kwa mara wapo watu ambao hawajawahi kufika huko Arusha sasa wanapopata hii experience wanatengeneza picture fulani mbaya sana.

Nyerere alipinga sana ubaguzi na hili jambo aliliongelea kwa emphasis kubwa sana na alifanikiwa pakubwa Tanzania kuwa a good example ya non tribalism sasa lazima tukemee kwa herufi kubwa tunapoona mianya kama hii.

Nimeishi Arusha na kukaa na watu wa huko mpaka muda huu tumechanganya damu lakini sijaona hii tabia sio wao tu hii ni kwa makabila yote Tanzania hatuna ubaguzi kabisa wote tunaitana ndugu.

Kusifia mkoa wako sio mbaya tena nimeona wengine wanaosifia hapa Arusha ni wachagga na wapare ambao indigenously sio wenyeji wa Arusha.

Stop that unaehubiri ubaguzi.
 
Hapa umegusa penyewe.. hutamuona tena au akija atakuja kumwaga pofu kisado
Mkuu huyu ni hopeless nimeshamsoma atakua ana msongo wa mawazo, nilikua sijui kumbe mtu kusifia kwao ni dhambi, nadhani hiyo pia ingekua strategy nzuri kwani viongozi wetu wangeamka na kuhakikisha kila mkoa unakua na maendeleo, sasa huyu anatema tu pumba hana point zozote
 
Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
Hivi kati ya wewe a sisi ni nani ni mbaguzi?
Nakumbuka kuna siku ulishawahi kuja kumwaga pia pumba zako hapa wenye hii thread isiyo kuhusuMatajiri,watoto wa mjini na wababe wa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha
Ila wewe mwenyewe pia ulishawahi kuanzisha thread yako ya mbeya lakini hakuna mtu aliyekubuguzi wala kuongea vibaya thread yako..

Nb: huwezi kuuzungumzia ubaguzi au udini kama na wewe huna chembe chembe hizo za ubaguzi.

Your illiterate.
 
Rivertrees Country Inn (Arusha, Tanzania)

rivertrees-country-inn-tanzania-luxury-safari-ker-downey-pool.jpg

timthumb.php

rivertrees-country-inn.jpg

f1.jpg

42176437.jpg

rivertreescountryinn5.jpg

timthumb.php
Hii hotel ndimo alimofikia tajiri wa chelsea,alipokuwa amekuja kupanda mlima kilmanjaro mwaka juzi.Inatosha baba,utawaua mahaterz!
 
We pimbi acha kuchochea ukabila.. Taifa Kwanza!!
Nilimuuliza huyo mwenzako hivi mume wako akiamua kukusifia kuwa wewe ni mrembo na unavutia alafu mimi ninune kwanini amekusifia, hivi kweli akili yangu itakua inafanya kazi sawasawa? Naomba nioneshe ukabila hapo
 
Back
Top Bottom