mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
Naona umeshachanganyikiwa, tulia dozi ikuingie.Peleka ukuda huko threader ameshasema hataki ligi objective zake ni kuuelezea mji wa Arusha and obvious that's what have been done here wewe tu ndio nakuona unaleta challenge za kipimbi like an empty set blal fuuu.
Msukule wa kijijini arusha katika ubora wako.Tuendelee kuwachoma mpaka wapasukee... Kwao Ileje vumbi tupu lazima wachukie haya.. hahahahha
Utuoneshe na nyumba yako unayoishi wewe mshamba wa kijijini arusha.Aise naona yamepiga kimya sana, watu tumekaaga tu tunawadere wanavyolipondea Geneva sasa tumewaamulia hawajiwezi..... Safari City na USA River satellite City zikikamilika Chugga ni nyngine kabisa.
πππ na kweli huyu ni wakupuuzwa sababu ukimsoma anachokiongea haswa hamna mantiki anapinga picture kuwekwa huku utafikiri yeye ndio anazishikilia zisidondoke hoja za kipumbavu kichupi.Ila makondakta amesema watu type hyo yenu tusiwafollow.
Hivyo nakupuuza tu
Ileje ni sehemu kama sehem zingine Tanzania.MTU yuko ileje nae anadai anaijua arusha
Wadanganyeni masai huko porini arushaArusha bila kuwa na million angalau 50 sahau plot. Labda kama unataka pa kuoteshea mti.
Hawa jamaa wa arusha me nawaita misukule kaziniTatizo machalii wa wa Arusha.. mko narrow minded.. viroba na mirungi inawaharibu.. mnajihis mko kama ulaya sababu ya kutafuna mirungi na kuvuta bangii.. a.k.a kitu cha Arusha!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Pia ni mji pekee ambao bangi inavutwa hadharani stendi kuu bila kupekecha macho.
Pia ni mji unaongoza kwa vijana wanywa viroba na gongo kawaida sana kwao.
Pia ni mji ambao vijana wanajivunia maghorofa ambayo siyo ya kwao ila watu wa kutoka mikoa mingine wanaenda kuwasogeza nje ya mji huku wao wakiuza maeneo ya katikati ya mji.
Pia ni mji wa watu wanaopenda sana ukabila na huwa wanakutambua kwa kutokuwa na meno ya kashata.
Ni mji unaongoza kwa ubaguzi wa kikabila kama wakenya walivyo na ndo mana hata kiongozi wake alienda UNO kudai uhuru wa Arusha pekee ila Nyerere wa kutokea kanda ya ziwa mkoani Mara katka kabila dogo sana la Wazanaki kaenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika na wao wakiwemo ila hawakubaguliwa na bado wanajiaminisha kuwa ni wajanja kuliko huyu mzanaki.
Ni wapenda sifa sana na wanaongoza kwa kuongea kimizuka sana kwa ghadhabu kama Viongozi wao muwaonavyo katika majukwaa.
Huwa wanajiaminia kuwa wanaweza kuongoza nchi ila kiukweli ni kuwa hawawezi mana wataleta utengano mana mfano mzuri mnaujua
Eroo niaje, mbona povu hivii nini mbaya asee , take it easy .. don take life that serious!!!!Wadanganyeni masai huko porini arusha
Hawa watu wa kijijini arusha ni washamba sana, wanaiga maisha ya wakenya ya ubaguzi na ukabila halafu ndio wanaona fasheni,Uzi huu ni wa kipumbavu
..na ukabila
Weka na picha za karatu, loliondo, engaruka, monduli, longido n. kMkuu umenichekesha kweli, Dar ni takataka kuishi kwa mtu alie wahi ishi Arusha, pale ni pa kwenda kwenye ishu na kuondoka fasta, kibajaji kinarukaruka kama chura na jinsi walivto na barabara mbovu ndio balaa, mavi kila kona chemba zinatema balaa, kariakoo chemba zimetapika laikini mijitu ya huko imekaa pembeni inakula matunda ya kukatiwa na wanaume wenzao, Dar ni pa ki soro sana arifu.
Hahahah nimekusoma kiongoz... ushamba ni mzigo..Hawa watu wa kijijini arusha ni washamba sana, wanaiga maisha ya wakenya ya ubaguzi na ukabila halafu ndio wanaona fasheni,
hata namna ya kuongea wanaiga wakenya.
Wanawaogopa wakenya sana hata ukienda arusha usishangae kuona project nyingi za wakenya pale
nenda sakina utakuta nyumba nyingi ni za wakenya, pia fursa nyingi arusha wamechukua wakenya.
Badala ya kuwaelimisha watu wa jamii zao kama masai kule maporini wanakuja hapa JF kuleta story za kitoto.
Nenda loliondo, karatu, longido, monduli n. k ni visehem vimedumaa hadi huruma.
Wao wanafikiri arusha ni pale mjini peke yake
Hawa jamaa wana ubaguzi kama wakenya walivyo.wakenya kuna redio zinatangaza lugha za kikabila k.v kikamba kikuyu kijaluo kikisii n.k naona ndo wanawezana na hawa jamaa.kule kuna shule zinafundisha kikabila mpaka std 4.Msukule wa kijijini arusha katika ubora wako.
Ileje nayo si ni sehemu kama sehemu nyingine watu wanaishi.
Ubaguzi na ukanda utawamaliza ninyi washamba wa arusha.
Wivu tu unamsumbua ameshachanganyikiwa kuona Geneva mbona ni ulaya kabisa wakati kwao bado umeme wa REA haujafika.Eroo niaje, mbona povu hivii nini mbaya asee , take it easy .. don take life that serious!!!!
Ushamba utawamaliza ninyi misukule ya arusha, tatizo hamjatembea halafu mnaleta takataka zenu hapa.Acha kutoka povu wewe, ngoja nikusahihishe, Arusha hakuna mahoteli ya kigeni hakuna ubaguzi huo kila anaeweza kulipa anaingia hotelini na kujinafsi, Arusha hakuna hela ya kigeni hata muuza ndizi na shanga anamiliki dola, sio kwenu mtu akilipwa dola anakimbia kuripoti ametapeliwa analipwa shilingi feki.
Dah mtu ukisifia kwenu ndio ubaguzi acha upoyoyo we tanularasa jf ni huru kuanzisha thread si uanzishe inayoelezea kwenu hamna atakaepinga tena threader hata hajalinganisha Arusha na mkoa wowote kama wengine wanavyoanzisha thread wanalinganisha Arusha na mikoa yao lakini hatuoni povu lote hili.Hawa jamaa wana ubaguzi kama wakenya walivyo.wakenya kuna redio zinatangaza lugha za kikabila k.v kikamba kikuyu kijaluo kikisii n.k naona ndo wanawezana na hawa jamaa.kule kuna shule zinafundisha kikabila mpaka std 4.
Ni lazima mkenya aitwe jina la kikabila na la kizungu moja au la kiarabu moja na hauwezi ukaitwa yote ya kizungu/kiarabu ni sheria yao.huwa wanashindana kikabila sasa ndo sawa na hawa jamaa.
Ni kama mfano mzuri kuna watu hawawezi nunua duka lako ukiwa sio wa kabila lao.au ole wako wajue hapo pembeni kuna wa kwao wanakuhama fasta sana.
Wanajuta wanadai kuwa nilikuwa nanunua kwa chasaka bana.
Huyu jama ni gasho flani hv.. hvyo mkaushie wala usimpe kikiπππ na kweli huyu ni wakupuuzwa sababu ukimsoma anachokiongea haswa hamna mantiki anapinga picture kuwekwa huku utafikiri yeye ndio anazishikilia zisidondoke hoja za kipumbavu kichupi.
Wadanganyeni masai huko porini arusha,Eroo niaje, mbona povu hivii nini mbaya asee , take it easy .. don take life that serious!!!!
Wewe ndio mshamba tena unajiaibisha kwa kuongea shiit hiyo mipaka yote nimefika currency inayotumika ni ya nchi jirani kama tunduma pale kwacha inatumika sana na boarder nyingine respectively lakini Arusha dollars pounds Euro ndio foreign currencies zinazotamba.Ushamba utawamaliza ninyi misukule ya arusha, tatizo hamjatembea halafu mnaleta takataka zenu hapa.
Nenda mwanza, nenda kasumulu na tunduma mipaka ya mbeya, nenda kariakoo n. k dollar kutumika ni kawaida tu na watu hawashangai. Ninyi huko kijijini arusha mnaona bonge la picha