Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Villa atapigwa tu, Ni swala la muda

Tunaendelea kuusubiri huo muda mpaka tumefika hapa ๐Ÿ‘‡
20240413_180550.jpg
 
Na nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ga easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more mature kisha wapepo na points nyingi za kupambana na nyie
point ya msingi hii.
 
Hii ndio asenali sasa haina vitu vipya sana kama unatarajia asenali kubeba kombe na ukasahau asili ya timu n kujilisha upepo tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.....

Hii ndio kwaheri ya kuonana ikitokea siti ajichanganye basi n kwa uchacheeee sanaaaaaa kiufupi asenali ndio msimu umeisha
 
UKo sahihi mkuu. Hamisi sijui yuko wapi?
hakuna kitu kinauma kama kuanza msimu ukijua kuwa mwisho wake city atabeba tena taji sasa nini maana yakushindana

yani miaka 8 iliyopita liver kabeba mara 1 city mara 7
msimu unaanza watu wakubwa wakina Mourinho wanatabiri city ana 51% Liverpool 49% ya kubeba ubingwa mwaka huu

hapana top team mwakani tufanye kama alicho fanya Leverkusen uko kwa bayern ikibidi mmoja wetu either

Arsenal
Liverpool
man utd
Chelsea
vila
spurs

wafanye usajiri wamaana kuja kustop hizi harakati za huyu mkulima mwenye 115 ffp charges
 
Mkiambiwa nyie ni kondoo huwa mnabisha, sasa unataka Emiry agombee ubingwa na Aston Villa?! Hata ukimpa Pep A.vila hawezi kutoboa.

Emiry amempita mbali sana Arteta. Yaani mliruka mkojo mkakanyaga mavi.
We kiazi tu huna lolote unalojua zaidi ya mihemuko au pengine unaendeshwa na akili za betting.. Sasa Emery na Aston Villa wanafanya nini kwenye ligi kama hawataki trophy.. Kuna makocha walishafanya mapinduzi makubwa kwenye soka na vikosi vya kawaida na wakaweka history kutokana na tactics zao mfano Ranieri na hapo jana kocha mchanga kabisa kwenye game Xabi Alonso na Leverkursen yake.. Mbona yeye hajafanya hicho ikizingatiwa hapo nyuma kuna baadhi ya wachambuzi walianza kuiweka Aston Villa kwenye title contender.. Pimbi moja umeliwa betting unakuja na hoja za mihemko.
 
Arteta kuna muda anazingua lakini haibadilishi maana kwamba Arsenal walifanya maamuzi sahihi kuachana na Unai Emery. Ni mid coach na hakuna lolote alilofanya walipokuwa nae zaidi ya timu ilikuwa worst kila Idara.
 
Nyie mapimbi mumeshindwa kabisa kuivunja hii trend ya man city kubeba beba ovyo ligi na Sasa muna maliza ligi bila kombe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom