Arsenal (The Gunners) | Special Thread

What happens if Arsenal and Manchester City finish level on points?​

If there is a tie, the league is determined by goal difference, followed by goals scored, most points earned in head-to-head play, and most goals scored away from home in the head-to-head record
 
Picha imepigwa kesho jioni ya jumapili
IMG_1277.jpeg
 
False hopers mpo? Kesho ndo siku ambayo tulikua tunaisubiri kwa hamu ili maneno yetu yatimie.
Jamiii check wanasubiri nini kuthibitisha kama nyinyi huwa mna matumaini bandia ushahidi umeshaletwa kwa hisani ya Unai emery na vijana wake wa Aston villa.
Hongereni mwaka huu mmefanya bottle kitasha sana , mmeshasahau kuwa before game ya aston villa nyinyi ndo mlikuwa mnaongoza ligi.

Game week 33 , Arsenal vs Aston villa mkiwa emirates 2 points ahead zikiwa zimebaki game 5 ligi iiishe mkafa 2:0 😂😂😂 sasa nyinyi nae mtasema mlikuwa mnatafuta ubingwa😂😂, Nyinyi ni false hopers mtazidi kuwa false hoper tu kenge nyinyi yaani game zimebaki 5 mnashindwa kukomaa mpewe nini sasa nyinyi , kila mwaka mnajipa false hope mmejifunza kutokana na makosa mpaka mtazeeka bado mnajifunza tu.

Unaambiwa za ndani kabisa ilitabiriwa arsenal atabeba EPL mpaka mtoto wa mtoto wa malkia Elizabeth awe King ( yaani mtoto wa king charles awe king) ndo kama mnavyojionea prince harry nae kaukataa ufalme tayari😂😂 technically inamaanisha arsenal hawezi chukua EPL mpaka dunia inaishaaa.
 
Kule kwenye uzi wao kumejaa articles ndefu ndefuuuuu za kizungu za copy-paste za kina Manyanza na Grau, kuhusu Klopp kuondoka na Slot kuja. Hata hakuna anayezielewa. Wanaona bora waje huku watukere tu.
Sitaki kujua umeanza kushabikia mpira mwaka gani ila nina uhakika wa jambo mmoja tu, tukichukua shabiki yoyote yule wa Arsenal tukahesabu makombe aliyoyaona na kushabikia as arsenal fan bado hamzidi dogo aliyeanza kushabikia man city 2011 .

Tufanye umeanza kushabikia mpira mwaka ambao wenger ndo anakabiziwa team 1995 tukihesabu makombe arsenal aliyochukua ya epl mpaka tunavyoongea saivi 2024 ni makombe 3 tu 😂😂😂
1997/1998 , 2001/2002, 2003/2004 .
Tuchukulie dogo alianza kushabikia man city 2011 ana makombe ambayo ameyaona as fan of man city makombe 7 kesho la nane 😂😂
 
Kweli kabisa. Wamepiga hatua kubwa sana huku sisi wengine tumeharibu na kuzembea vibaya sana 😄😄
 
Sitaki kujua umeanza kushabikia mpira mwaka gani ila nina uhakika wa jambo mmoja tu, tukichukua shabiki yoyote yule wa Arsenal tukahesabu makombe aliyoyaona na kushabikia as arsenal fan bado hamzidi dogo aliyeanza kushabikia man city 2011 .

Tufanye umeanza kushabikia mpira mwaka ambao wenger ndo anakabiziwa team 1995 tukihesabu makombe arsenal aliyochukua ya epl mpaka tunavyoongea saivi 2024 ni makombe 3 tu 😂😂😂
1997/1998 , 2001/2002, 2003/2004 .
Tuchukulie dogo alianza kushabikia man city 2011 ana makombe ambayo ameyaona as fan of man city makombe 7 kesho la nane 😂😂
Huwa unaongeaga fact sana we jamaa, respect!
 
kila wisho wa msimu maneno yenu ni hayohayo tu mtajifunza kwa mistakes mlizofanya na mwakani kwenye fezi foo mtabeba ndoo, cha ajabu hizo fezi foo hua haziishi, kila msimu kwenu ni fezi foo na mbaya zaidi hua hata hamjifunzi kabisa kwa hizo mistakes mlizofanya msimu ulioisha
Mlinda geti kazi yangu humu ni kutembeza spana tu mpaka mjirekebishe na kuacha uzwazwa na false hopes za kijinga, tena umenikumbusha ngoja nianze kufukua makaburi maana ninazo quotes zako za kutosha humu ukiwadanganya misukule wenzako kua msimu huu lazima mtabeba Epl na Uefa
Ni lini nilisema tutabeba UEFA mkuu 🤠 🤠....usinilishe maneno shehe....ndoo ya EPL Emery katufanyia roho mbaya tu🤠🤠...ila fezi foo hii kitu tunanyakua...msimu ujao big six wte mjiandae kutuchangia points 6 maana tuna jambo letu
 
Yaani ukisikia hili neno "kondoo" basi akili yako inatakiwa kukutuma hilo neno lina maanisha mashabiki wa Arsenyetoz .
Yaani kuna kondoo sasa hivi anaamini Arsenyetoz inabeba ubingwa
 
Back
Top Bottom