Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi kweli mnataka ubingwa Odegaard akupeni ubingwa

Alishindwa Fábregas
Alishindwa
Ozil
Alishindwa RVP
eti aje Odegaard aweze
Sio Odegaard mkuu, Masingeli na chawa zake mkorea na arsenal2004 wanadanganyana humu kua Kai Harvez ndio mchezaji wa kuleta makombe hapo Emirates, wanadai Kai ndio aliefunga goli kwenye fainali iliyowapea Chelsea ubingwa wa Uefa, hivyo Kai ana DNA ya makombe aliyotoka nayo the Blues na kuileta kwa G.gunners


#Once your bottlers, your always a bottlers.
 
Arsenyetoz jana mmefumuliwa manundu na Aston villa
Partey efusiiiiii !
Mna hali mbaya !
Mdogo mdogo mtarudi kwenye default mode yenu , upepo ulivyowaendea vizuri hapa karibuni mkarudi na kidomodomo Chenu kujiita mabingwa wa Epl na UCL
Ninyi mmerogwa .
Mabingwa wa kunywa ulanzi labda
 
Arsenyetoz jana mmefumuliwa manundu na Aston villa
Partey efusiiiiii !
Mna hali mbaya !
Mdogo mdogo mtarudi kwenye default mode yenu , upepo ulivyowaendea vizuri hapa karibuni mkarudi na kidomodomo Chenu kujiita mabingwa wa Epl na UCL
Ninyi mmerogwa .
Mabingwa wa kunywa ulanzi labda
timu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi
yani sisi jana tumefungwa ndo tukate tamaa ya kutwaa taji
 
Na nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ya easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more matured kisha wawepo na points nyingi za kupambana na nyie
 
Na nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ga easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more mature kisha wapepo na points nyingi za kupambana na nyie
UKo sahihi mkuu. Hamisi sijui yuko wapi?
 
Back
Top Bottom