HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Kwani hayo masinia ni manini?Hatuongelei lile sinia tunaongelea mataji kama mataji mkuu.
Kwani hayo masinia ni manini?Hatuongelei lile sinia tunaongelea mataji kama mataji mkuu.
We unajua Arteta ana makombe mangapi?Hatuongelei lile sinia tunaongelea mataji kama mataji mkuu.
Hawajui anayo mengi.We unajua Arteta ana makombe mangapi?
Kocha wa set pieces wa Arsenal, Jover, anatakiwa na Bayern na Barcelona.
Arsenal imegoma kumuachia
Tunahitaji pia mtu wa kuwafundisha wachezaji wetu kupiga direct free kicks. Yaani hatuna mpigaji mzuri wa hizi kabisa. Kila tukipata freekick nje ya box tunaanza kufanya mahesabu ya kurecover mipira itayogonga ukuta au kujipanga kupress mpinzani atakapopata goal kick baada ya sisi kupaisha.Kocha wa set pieces wa Arsenal, Jover, anatakiwa na Bayern na Barcelona.
Arsenal imegoma kumuachia
Arsenal tumegewa option ya kumsajili Osimhen ila tumegoma na badala yake tunamtaka Sesko


Mkuu niamini mimi hamtampata huyo Osimhen wala Sesko, usajili wenu mkubwa dirisha hili kama mtafanikiwa basi atakua ni Onana. 


Upo nyuma sana.Mkuu niamini mimi hamtampata huyo Osimhen wala Sesko, usajili wenu mkubwa dirisha hili kama mtafanikiwa basi atakua ni Onana.
Arsenyau false hopes hua sio tu kwenye makombe bali mpaka kwenye usajili false hopes hua zinatamalaki
#Poor Arsenyo
#Pooa Arteta
Hawa jamaa wameaminishana kuwa wachezaji wanalilia kusajiliwa na arsenal sababu ya mfumo au ubora walionao. Leo hii target yao ya kwanza kabisa kachomoa kuja arsenal.Mkuu niamini mimi hamtampata huyo Osimhen wala Sesko, usajili wenu mkubwa dirisha hili kama mtafanikiwa basi atakua ni Onana.
Arsenyau false hopes hua sio tu kwenye makombe bali mpaka kwenye usajili false hopes hua zinatamalaki
#Poor Arsenyo
#Pooa Arteta
Hawa jamaa wameaminishana kuwa wachezaji wanalilia kusajiliwa na arsenal sababu ya mfumo au ubora walionao. Leo hii target yao ya kwanza kabisa kachomoa kuja arsenal.
Wanajilisha upepo hawa hadi raha.


Hawa ni false hopes kiwango cha lami, msimu ulioisha walidanganyana humu kuhusu Mudryk, wakatiana ujinga kua Mudryk amefanya mpaka mgomo wa kula, muda wote amejifungia chumbani analia hataki kusikia timu yoyote zaidi ya Arsenyo timu ya ndoto zake


😂😂😂😂😂Hawa ni false hopes kiwango cha lami, msimu ulioisha walidanganyana humu kuhusu Mudryk, wakatiana ujinga kua Mudryk amefanya mpaka mgomo wa kula, muda wote amejifungia chumbani analia hataki kusikia timu yoyote zaidi ya Arsenyo timu ya ndoto zake
![]()
Acha maneno weweeee. Hakuna mchezaji mwenye akili timamu mwenye ubavu wa kukataa project ya Arteta. Huyo itakuwa alivujisha tu story ili aongezewe mkataba.Hawa jamaa wameaminishana kuwa wachezaji wanalilia kusajiliwa na arsenal sababu ya mfumo au ubora walionao. Leo hii target yao ya kwanza kabisa kachomoa kuja arsenal.
Wanajilisha upepo hawa hadi raha.

Reports indicate that PSG made a bid close to 100m for Arsenal Winger Martinelli, it's believed that PSG looks at Martinelli as a replacement for Mbappe.