Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sisi Manyumbu hatujafurahishwa hata kidogo kumuona Tembo karudi juu ya mti, kama jumatano tulivyomsaidia Kenge kuingia kwenye top 10 basi na kesho pia tumeazimia kumrudisha Punda on the top of table
1711013703929.jpg
 
Sisi Manyumbu hatujafurahishwa hata kidogo kumuona Tembo karudi juu ya mti, kama jumatano tulivyomsaidia Kenge kuingia kwenye top 10 basi na kesho pia tumeazimia kumrudisha Punda on the top of tableView attachment 2955839
Nyny malofa kesho jazaneni golini mpira usiingie...draw tu inatosha...hayo mengine tuachieni sisi🤠🤠...habari za hamsa zitarudi weekend ijayo...maana leo tulikutana na bingwa wa kufanya build up kutoka nyuma ila tumemuonesha tunaweza kucheza mpira wwte...Di Zerbi leo atalala anaweweseka kima yule
 
Nyny malofa kesho jazaneni golini mpira usiingie...draw tu inatosha...hayo mengine tuachieni sisi...habari za hamsa zitarudi weekend ijayo...maana leo tulikutana na bingwa wa kufanya build up kutoka nyuma ila tumemuonesha tunaweza kucheza mpira wwte...Di Zerbi leo atalala anaweweseka kima yule
Timu ni yetu hivyo msitupangie cha kufanya, sisi kama mashabiki wa United furaha yetu kesho ni kumuona liverpunda anaongoza ligi.
 
Mkorea sio vizuri kubadili maandiko,
Maandiko yanasema:
Binadamu wote wanazaliwa wakiwa United, baada ya hapo ndio wanahamia timu nyingine kutokana na shida mbalimbali zilizopo katika vichwa vyao.

Friends of Brighton tayari tumeshatia kambi humu, huku tukiwakumbusha kua kesho Liverpool anaenda kuweka gape la points 6 baina yake na Arsenyau.
Tuna kijana wetu anaitwa Danny Welbeck kasema leo hatatuangusha, ameahidi leo bora wachezaji wote 11 wa Brighton wafie uwanjani lakini sio kufungwa na timu mbovu kama Arsenyo na kuendeleza false hopes. View attachment 2955530
Tafuta Chaka lingine, Brighton ameshapigwa packet nzima
 
Hawa Manunu najaribu kufikiria siku wakikutana na Brighton sijui watafanywaje....maana wanajenga mashambulizi vzuri sana ila leo Sasa wamekutana na kitu kizito....De Zerbi leo atalala anaweweseka kwakwli
Brighton nawakubali sana. Wanamix vizuri team play na individuality. Uliona mabeki na viungo vyao walivyokuwa wanaturn na kuacha viungo wetu kwenye mataa. Hawa wakikutana na manyumbu wanawapiga kono la nyani.
 
Mkuu Castr unachosema ni kweli haswa ila ni kwa hukohuko kwao Uingereza.
Ila kibongo bongo mashabiki wa Man Utd na Arsenal ni wengi kuliko mashabiki wa timu nyingine yoyote kwenye Epl.

Nenda kwenye kibanda umiza fanya research utagundua mashabiki wa Liverpool hawafiki hata nusu ya mashabiki wa Arsenal na Mashabiki wa City hawafiki hata robo ya mashabiki wa Arsenal.

Wingi wa mashabiki ndio unaoleta uhasimu katika mazingira husika.

Kibongo bongo hauwezi kuona uhasimu wowote kati ya Arsenal na Spurs sababu hapa kwetu mashabiki wa Spurs ni wa kuhesabu, hata uhasimu wa Arsenal na Chelsea hapa kwetu sio mkubwa ki vile kwa sababu hapa Bongo mashabiki wengi wameanza kuijua na kuishangilia Chelsea baada ya Chelsea kununuliwa na Abramovich.

Hivyo ni sahihi kibongo kuona uhasimu mkubwa zaidi kati ya Arsenal na Man Utd hata kama uhasimu huo sio mkubwa kivile kwa huko kwao Uingereza.

Kibongo bongo hauwezi kuona uhasimu kati ya Barcelona vs Espanyol, Real Madrid v Atletico Madrid, Bayern Munich vs Dortmund, Psg vs Marseille, Napoli vs Roma, Juventus vs Torino.
Kwa mfano Mimi ukiniuliza timu Gani naichukua kuliko zote nitakwambia Man U.

Lakini siku hizi nawaombea mazuri, kama game yenu ya kesho na Liver nawaombea mshinde.

Lakini nashangaa bado Manyumbu hawatupendi
 
Back
Top Bottom