Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mourinho came to Chelsea in 2004 and won the league 2005 and 2006.

Wenger in 2005 - building the team

Ferguson won the league 2007, 2008, 2009

Wenger in 2007, 2008, 2009... still building the team

Ancelloti came to Chelsea in 2009 and won the league in 2010.

Wenger in 2010... still building the team

Roberto Mancini came to Man city in 2010and won the league in 2012.

Wenger in 2012... still building the team

Pellegrini came to Man city in 2013 and won the league in 2014.

Wenger in 2014... still building the team

Mourinho came back to Chelsea in 2013 and won the league in 2015.

Wenger in 2015... still building the team

Claudio Ranieri came to Leicester city in 2015 and won the league in 2016

Wenger in 2016... still building the team

Antonio Conte came to Chelsea in 2016 and already taking the EPL by storm until 2017.

Wenger in 2017... still building the team

Pep and Klop joined their clubs recently and now they've won premier leagues and now It's Arteta still building the team

Arsenal are you building the Ark of Noah.?.

Wenger orphans ni kituo cha kutupa rahaaView attachment 2942018
Unatuandama sana humu mkuu. Hebu tukutane tu uwanjani chaap tuwanyooshe vilivyo.
 
perfect Arsenal midfield with 3 players..

gilberto

rice

cazorla
 
Attachments

  • 1711177758746.jpg
    1711177758746.jpg
    436.8 KB · Views: 2
Unatuandama sana humu mkuu. Hebu tukutane tu uwanjani chaap tuwanyooshe vilivyo.
Shida sio kutunyoosha, kama kutunyoosha mshatunyoosha sana kwa kipigo mpaka cha 8-2
Sisi tunauliza hio timu yenu itajengwa kwa karne ngapi?
Kila msimu wenzenu wananyanyua makombe halafu nyie bado mnajenga tu timu, kuna watu humu kama kina mkorea tokea wamezaliwa mpaka sasa hivi nao wanaitwa baba hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba makombe makubwa, maskini ya Mungu wanaishia kuona Liverpool, Chelsea, Man Utd, Man City, Crystal palace wanabeba Epl wao udenda unawatoka.
Wanawaona Chelsea, Liverpool, Man Utd, Mancity, Westham wanabeba makombe makubwa ya Ulaya halafu wao wanaishia kubeba Emirates Cup na Misinia ya ugali.

Badilikeni ndugu zangu tafuteni kocha wa kueleweka, na sisi tunapenda kuwaona mkiwa na furaha, sio kila mwisho wa msimu mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu, ila kwa mtindo wenu huu wa kung'ang'ania mid table coach anae wadanganya kwa phase zisizoisha nina uhakika mkorea anaweza kujukuu bila kushuhudia timu yake pendwa inabeba kombe lolote la maana zaidi ya kujisifia tu GD, Pressing na Overloading, positional interchange pamoja na aerial duel
 
Tuseme Mara ngapi, hii ndio phase ya makombe

Epl tunaongoza ligi,
game ngumu iliyobaki Ni moja tu vs wolves ambayo tutakua away

Uefa tunafikiria Kati ya city na Madrid hapa tutakutana na Nani?
 
Labda kama unamaanisha makombe ya chooni.
Kwa mid table coach mliye nae mtakua mnatukanana humu kila mwisho wa msimu.
Acheni ubahili tafuteni kocha wa kueleweka, Arteta sio kocha mbaya ila ni avarage kocha wa Mid table team kama Brighton, Everton, Brentford e.t.c
Kila msimu mtakua mnaishia kusifia pressing & overloading halafu mwisho wa ligi mnamtukana kocha humu.
1711197136400.jpg
 
Labda kama unamaanisha makombe ya chooni.
Kwa mid table coach mliye nae mtakua mnatukanana humu kila mwisho wa msimu.
Acheni ubahili tafuteni kocha wa kueleweka, Arteta sio kocha mbaya ila ni avarage kocha wa Mid table team kama Brighton, Everton, Brentford e.t.c
Kila msimu mtakua mnaishia kusifia pressing & overloading halafu mwisho wa ligi mnamtukana kocha humu. View attachment 2942602
Kama mnaweza kumsifia baba ubaya akishinda mechi mbili tatu, alafu kipigo mfululizo. Basi hauna uwezo au Ni wivu tu wa kutokuona au kujua uwezo wa Arteta

Naomba utufahamishe jf nzima, baba ubaya anacheza mpira gani, anasimamia falsafa gani za mpira, na strength yake ni ipi

Screenshot_20240323-160221.jpg
 
Labda kama unamaanisha makombe ya chooni.
Kwa mid table coach mliye nae mtakua mnatukanana humu kila mwisho wa msimu.
Acheni ubahili tafuteni kocha wa kueleweka, Arteta sio kocha mbaya ila ni avarage kocha wa Mid table team kama Brighton, Everton, Brentford e.t.c
Kila msimu mtakua mnaishia kusifia pressing & overloading halafu mwisho wa ligi mnamtukana kocha humu. View attachment 2942602
Kwamba nyie mna world class kocha?

Umeanza kuvuta bangi sasa

Hakika mmeshakata tamaa

Hata michuano ya ulaya UCL mtaisikia kwenye bomba
 
shabiki wengi wa nyumbu na kenge ndo wanatuletea
tafrani huku kwenye chimbo letu,wanaboa kinoma!!
kwanini wamekimbia kule kwao?
kuna mmoja wa nyukesto siku za hapo nyuma alikuwa analeta
pigo hizihizi ila wana walimkalisha,amepotea
naona siku si nyingi na hawa watatulizwa tu
 
Kwamba nyie mna world class kocha?

Umeanza kuvuta bangi sasa

Hakika mmeshakata tamaa

Hata michuano ya ulaya UCL mtaisikia kwenye bomba
Hatuna world class coach lakini walau anaonesha mwanga wa kubeba makombe sio kama Mateka.
Msimu wake wa kwanza tu na kaikuta timu ni mbovu kwelikweli lakini kafanikiwa kubeba kombe na kumaliza ligi nafasi ya 3.
Msimu huu wa pili anaelekea kwenye fainali.

Mateka ana miaka 5 hapo kwenu lakini kaishia kupata kikombe kimoja na kafanikiwa kwa mara ya kwanza kuingia top 4.
Kwa kua Arsenyo ni mid table team, hata mashabiki wake wana mentality za ki mid table ndio maana wengi wao wanaona GD, pressing & overloading kwao ni archivements kubwa sana.

Sio chuki wala roho mbaya ila tunapenda kuwaona na nyinyi ndugu zetu walau mara moja moja mnakua na furaha kwa kubeba makombe makubwa ndio maana tunawashauri kwa nia njema kabisa kua mtafute kocha wa kueleweka.

Mateka hatawafikisha popote labda kama mmeridhika wenyewe na vikombe vya Emirates, Mateka mwenyewe tokea aanze kucheza mpira hajawahi kushinda kombe lolote la maana mpaka anastaafu kucheza mpira.
1711206124532.jpg
 
View attachment 2942721
Umeongea kama nyumbu typical...umesema Arteta amebeba ndoo na wenu kabeba ndoo halafu msimu huu anaenda final ambayo tunajua kabisa atadundwa🤠🤠...mjiandae kwnda Europa kunyooshwa na Sevilla...zile sasahv ndo level zenu za michuano...na mkileta ujinga msimu unaofuata mtaenda kucheza Conference league kabisa na kina Fulham huko
 
Umeongea kama nyumbu typical...umesema Arteta amebeba ndoo na wenu kabeba ndoo halafu msimu huu anaenda final ambayo tunajua kabisa atadundwa...mjiandae kwnda Europa kunyooshwa na Sevilla...zile sasahv ndo level zenu za michuano...na mkileta ujinga msimu unaofuata mtaenda kucheza Conference league kabisa na kina Fulham huko
Mateka miaka yote 5 kaishia kupata kakikombe kamoja ka FA, tena akapata hako kakikombe kipindi cha Corona(FA Corona Cup) Arsenyau kuja kupata kikombe kingine chochote mpaka litokee janga lingine kubwa la ugonjwa duniani.
Baba Ubaya yeye mwaka wake wa kwanza tu kukabidhiwa timu watu tumenyanyua makwapa, na mwaka wa pili tunaelekea fainali.
Hebu piga mwenyewe hesabu huyu kocha wa ball mpaka akifikisha miaka 5 kama Mateka sisi Man Utd makwapa yetu si yatakua yanauma?
 
Mateka miaka yote 5 kaishia kupata kakikombe kamoja ka FA, tena amepata hicho kikombe kipindi cha Corona(Corona Cup) Arsenyau kuja kupata kikombe kingine chochote mpaka litokee janga lingine la ugonjwa duniani.
Baba Ubaya yeye mwaka wake wa kwanza tu kukabidhiwa timu watu tumenyanyua makwapa, na mwaka wa pili tunaelekea fainali.
Hebu piga mwenyewe hesabu huyu kocha wa ball mpaka akifikisha miaka 5 kama Mateka sisi makwapa si yatakua yanauma?
Corona haichezi mpira uwanjani....halafu hyu baba Ubaya a.k.a Walter White mzee wa Breaking bad..ile papatu ya mwaka jana haitakaa ijirudie tena...hakuna kombe atapata msimu huu🤠🤠...na kiufupi tu anasubiri awapeleke kule Europa maana kule ndo anaona atapaweza wakati anasahau kuna kina Sevilla na Galatasaray kule wanabonda kinyama
 
Back
Top Bottom