Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Hhahahahaha
Kiuchezaji wanaonivutia:Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Mbona Alessia Russo simuoni kwny list...yule mm ndo namkubali🤠Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Sasa hivi ubora wake umepungua kiasi.Mbona Alessia Russo simuoni kwny list...yule mm ndo namkubali🤠
Kuna mdogo wake Leece James yupo Chelsea (Lauren James), yule dada anajua., pamoja na golikipa wa Aston Villa Leat. Wale timu ya Taifa ya wanaume Tz wanaanza bila ubishi
Deschamp kwake bora amchezeshe RB kama CB kuliko kumpa nafasi SALIBAView attachment 2943279
Ndio mana walichezea kichapoDeschamps ni chizi, anazeeka vibaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hio mechi yenu na Mancity jinsi mnavyo jitahidi kuibrand ionekane kama vile ni El Clásico wakati uhalisia mnaujua kabisa jinsi kitavyo walamba kwenye dimba la Ittihad, pona yenu mpaki basi ila mkitaka kupishana na vijana wa Pep kono la nyani linawahusu.[emoji2403]USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
[emoji1614] Game ya Man City vs Arsenal nilishatoa pre analysis Siku nyingi tu ila kuna iki kitu nataka niweke hapa mujionee nikichosema City wanafanya anachokifanya Arsenal kwa Ubora kabisa
[emoji1614] Kuna kitu wanahita " Build up attacks" nini maana yake hili neno na je tafsiri ipi kwenye uchezaji vilabu hivi
[emoji1614] Build up attack kwa Lugha mama ya kiswahili ni kwamba " Ni idadi ya mfatano wa pass ambao unahusisha pass 10 au zaidi na inaweza kumaliza kwa kupiga shuti au angalau mguso mmoja wa pass ndani ya box"
[emoji1614] Kwa Lugha nyingine ni series ya pass zinavyopigwa ili kutengeneza shambulizi sasa Kwa EPL hapo team zinazoongoza kwa Build up in attack ni Man city na Arsenal
[emoji1614] Uku Arsenal akitajwa kuwa na matumikio hayo 120 na Man City 124 unaweza kuona kitu hapa kwamba hii game tactically ni Ngumu sana ila game kama hizi uwa zinaamuliwa na na Small Margins
[emoji1614] Sio build up attack tu ata pressing style wanafanana hawa moja game kutokosa kabisa Hii game tactical genius
AmigosView attachment 2946519
![]()
Arsenyau hio mechi yenu na Mancity jinsi mnavyo jitahidi kuibrand ionekane kama vile ni El Clásico wakati uhalisia mnaujua kabisa jinsi kitavyo walamba kwenye dimba la Ittihad, pona yenu mpaki basi ila mkitaka kupishana na vijana wa Pep kono la nyani linawahusu.![]()
Kwenye last 20 results vs City mmeishia kushinda mechi 2 tu tena zote mmeshinda kwenye uwanja wenu wa nyumbani kwa ushindi mfinyu wa kagoli kamoja, halafu mmegongwa mechi 18![]()
![]()
![]()
Masingeli naomba unikumbushe Arsenyau mara yenu ya mwisho kushinda kwenye dimba la Ettihad ilikua mwaka gani?
Sio kama nina chuki na nyinyi ila nawakumbusha tu maana nyie ni ndugu zangu kabisa, Guardiola mechi zake 10 za mwisho za kumaliza ligi hua anakua na roho mbaya kwelikweli, hacheki na kima yoyote alie mbele yake wakati Asani-wali mechi zao 10 za mwisho hua inajulikana kabisa jambo linaloenda kuwakuta![]()
![]()
![]()
#Arsenyo ndoo Epl
#Arsenyo ndoo Uefa
#Arsenyo ndoo Wc
#Arsenyo ndoo CecafaView attachment 2946768