Karibu sana weekend pale Etihad uone namna kipara Pep atakavyokuwa anamaliza machupa ya maji...maana huwa akidundwa anaishia kunywa maji tu🤠🤠[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu toobiter sio kuwawangia mimi nimezungumzia uhalisia wa mambo ulivyo ukiachana na hizo false hopes mnazopeana humu[emoji16][emoji16][emoji16]
Wakati tunacheza nao game ya community shield, mlileta taarabu hizi hizi. Ooh katika mechi 20 za mwisho mmefanya kadha wa kadha. Tukamfunga, mkapoteana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hio mechi yenu na Mancity jinsi mnavyo jitahidi kuibrand ionekane kama vile ni El Clásico wakati uhalisia mnaujua kabisa jinsi kitavyo walamba kwenye dimba la Ittihad, pona yenu mpaki basi ila mkitaka kupishana na vijana wa Pep kono la nyani linawahusu.
Kwenye last 20 results vs City mmeishia kushinda mechi 2 tu tena zote mmeshinda kwenye uwanja wenu wa nyumbani kwa ushindi mfinyu wa kagoli kamoja, halafu mmegongwa mechi 18 [emoji16][emoji16][emoji16]
Masingeli naomba unikumbushe Arsenyau mara yenu ya mwisho kushinda kwenye dimba la Ettihad ilikua mwaka gani?
Sio kama nina chuki na nyinyi ila nawakumbusha tu maana nyie ni ndugu zangu kabisa, Guardiola mechi zake 10 za mwisho za kumaliza ligi hua anakua na roho mbaya kwelikweli, hacheki na kima yoyote alie mbele yake wakati Asani-wali mechi zao 10 za mwisho hua inajulikana kabisa jambo linaloenda kuwakuta[emoji23][emoji23][emoji23]
#Arsenyo ndoo Epl
#Arsenyo ndoo Uefa
#Arsenyo ndoo Wc
#Arsenyo ndoo CecafaView attachment 2946768
Kwa nini wanatuchukia
Huyo amekua mchawi kabisa, maana lamli zake zilishashindwa Sasa ameamua kuwanga kabisa[emoji1][emoji1]Dah punguza kutuwangia basi mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa wingi wa makombe ya Emirates kweli mmetuzidi.kwasababu tumewazidi
Msimu ujao Europa league hamvuki hatua ya makundi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa wingi wa makombe ya Emirates kweli mmetuzidi.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuambiwa ukweli sio kuchukiwa.Kwa nini wanatuchukia?
kitakachofuata ni conferenceMsimu ujao Europa league hamvuki hatua ya makundi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimu ujao Uefa tuko pamoja kama kawaida halafu Arsenyau mnaishia kutuona wachawi, kumbe sisi wenzenu tuko vizuri kusolve hesabu za Algorithm.Msimu ujao Europa league hamvuki hatua ya makundi
Nitamuona kipara Baba Ubaya genius ikiwa atamaliza top 4...Villa na Tottenham wakikubali kuachia hilo gepu watakuwa ni wajinga kwlikwli...nyny sasahv kwa kile kikundi chenu hata europa haiwafai mtaenda kutuaibisha tu...mlitakiwa mkakipute kule Conference league kabisa na kina Stuttgart[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimu ujao Uefa tuko pamoja kama kawaida halafu Arsenyau mnaishia kutuona wachawi, kumbe sisi wenzenu tuko vizuri kusolve hesabu za Algorithm.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe na Masingeli Baba Ubaya hata kama akibeba Epl msimu huu bado mtamuita Tapeli tu.Nitamuona kipara Baba Ubaya genius ikiwa atamaliza top 4...Villa na Tottenham wakikubali kuachia hilo gepu watakuwa ni wajinga kwlikwli...nyny sasahv kwa kile kikundi chenu hata europa haiwafai mtaenda kutuaibisha tu...mlitakiwa mkakipute kule Conference league kabisa na kina Stuttgart
Hatumuiti kwa chuki Bali kutokana na kile kinachoonekana uwanjani🤠🤠..Onana butua mbele kwa Bruno akiipata anabutua kwa Rashford halafu baada ya hapo anabutua golini apate asipate itajulikana hukohuko....Sasa kwa staili hiyo hata Nottingham Forest watakufumua tu lazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe na Masingeli Baba Ubaya hata kama akibeba Epl msimu huu bado mtamuita Tapeli tu.
Kwa nini wanatuchukia?
Ni rahisi kumpigisha mamba mswaki kuliko Arsenyo kumfunga Mancity kwenye uwanja wa Ettihad.Sikumbuki ni lini mara ya mwisho Arsenal alipoteza mchezo wakati Antony Taylor akiwa ni referee. Tunakuwaga na bahati naye
kumbuka unaecheza nae ni naniMamacita wanatamani siku zigande lakini haiwezekani. Vilio na watu kuondoka uwanjani mapema vimekaribia