Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hawa machalii japo tunawaombea walibebe hili kombe la ligi ila ni wana dharau utafikiri timu yao ni prime Barcelona ya 2009

reminding you... your facing pep Guardiola the goat of the goat coach real arsenal fans wanajua haitakuwa rahisi but its good keeping hopes up and motivating each other toward the clash

mechi ikikaza sana draw ila mbali na hapo arteta atarudishwa kwa maranyinge darasani na his previous tactical masterclass teacher
 
Acha wenge. Mbinu kibao za kipara kazichukulia kwa Arteta 😂
 
hawa machalii japo tunawaombea walibebe hili kombe la ligi ila ni wana dharau utafikiri timu yao ni prime Barcelona ya 2009

reminding you... your facing pep Guardiola the goat of the goat coach real arsenal fans wanajua haitakuwa rahisi but its good keeping hopes up and motivating each other toward the clash

mechi ikikaza sana draw ila mbali na hapo arteta atarudishwa kwa maranyinge darasani na his previous tactical masterclass teacher
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hawa sio wa kuwaombea wabebe kombe la ligi, kama unahuruma sana ni bora uwaombee njaa tu.
Hawa kina Masingeli na chawa zake wanatakiwa wateseke jangwani miaka 40 kama wana wa Israel, halafu nchi ya ahadi waje kuishuhudia wajukuu zao wakati wenyewe wakiwa tayari wamesharudi mavumbini[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni suala jepesi sana Arsenalndoo kubeba EPL msimu huu kuliko Manyumbu kumaliza top 4...nyny ni fungu la kukosa na tyri laanq imeshahamia kwenu..
 
Weekend hii tutaenda kuongeza gap la points pale kileleni

Kenge na nyumbu mnakaribishwa kutazama soka safi
20230715_225413.jpg
 
Ni suala jepesi sana Arsenalndoo kubeba EPL msimu huu kuliko Manyumbu kumaliza top 4...nyny ni fungu la kukosa na tyri laanq imeshahamia kwenu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaandika kwa ujasiri huku mapigo ya moyo yako juu.
 
Ntakuwa na presha nikitaka kucheza na Brighton mkuu...sio hyu Guardiola...tutampapasa kama tulivyofanya mechi ilopita[emoji1783][emoji1783]..atamaliza sana chupa za maji safari hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yako Masingeli ameshashtukia mtego, jumapili Arsenyau anaenda kupigwa kipigo cha paka mwizi ndio maana anaogopa kutia neno kuhusu mechi ijayo, nakushangaa wewe chawa wake mpaka dakika haujashtukia gharika mnayoenda kukutana nayo.
Ninachomkubali Masingeli jamaa hua lina machale kinoma, lilivyokua na akili nyingi sasa hivi utakuta limeshazima na simu kabisa, ataiwasha baada ya mechi 2 zinazofata endapo Arsenyau itashinda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yako Masingeli ameshashtukia mtego, jumapili Arsenyau anaenda kupigwa kipigo cha paka mwizi ndio maana anaogopa kutia neno kuhusu mechi ijayo, nakushangaa wewe chawa wake mpaka dakika haujashtukia gharika mnayoenda kukutana nayo.
Ninachomkubali Masingeli jamaa hua lina machale kinoma, lilivyokua na akili nyingi sasa hivi utakuta limeshazima na simu kabisa ataiwasha baada ya mechi 2 zinazofata endapo Arsenyau itashinda.
Nenda Twitter utakutana naye...huku tupo sisi tunaoweza kudili na wazee wa busara kama nyny...j2 kipara anakula makofi palepale uwanjani kwao....yaani akatoe draw na Chelkenge halafu sisi aje kutusumbua....atafute beki za kueleweka...Walker na Stones washatupa taulo....hawataki kuteguliwa nyonga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yako Masingeli ameshashtukia mtego, jumapili Arsenyau anaenda kupigwa kipigo cha paka mwizi ndio maana anaogopa kutia neno kuhusu mechi ijayo, nakushangaa wewe chawa wake mpaka dakika haujashtukia gharika mnayoenda kukutana nayo.
Ninachomkubali Masingeli jamaa hua lina machale kinoma, lilivyokua na akili nyingi sasa hivi utakuta limeshazima na simu kabisa ataiwasha baada ya mechi 2 zinazofata endapo Arsenyau itashinda.
Wewe kenge ,tutampasua bwana enu man city ,halafu tunawangoja nyie

Nipo Twitter napambana na Nyumbu, chelkenge na TASAF(livakenge)

Tuna timu yakupiga umbwa yeyote yule
 
Arteta on Gabriel, Saka and Martinelli:

Yeah there is a chance. They haven’t trained. Tomorrow we have another session, but there is a chance they can be available.
 
Prediction yangu ya Vikosi ,baada ya kusikiliza Press zote mbili ya Arteta na Pep

Arsenal: Raya, White, Saliba, Gabriel, Kiwior, Jorginho, Rice, Odegaard, Saka, Havertz, Nelli (hopefully he makes it)

City: Ederson, Akanji, Dias, Ake, Gvardiol, Rodri, Kovacic, KDB, Silva, Haaland, Foden

Prediction

Mamacita 0 Arsenal 2
 
Wewe kenge ,tutampasua bwana enu man city ,halafu tunawangoja nyie

Nipo Twitter napambana na Nyumbu, chelkenge na TASAF(livakenge)

Tuna timu yakupiga umbwa yeyote yule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli kumbe upo?
Nilijua tayari machale yameshakucheza na kuamua kuwakimbia kondoo wako.

Kwa hio Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi
Mkishagongwa hio jumapili utakuja na ile Slogan yako ya "mkitufunga ni sawa na kunguru kumnyea binadamu anajifuta safari inaendelea" au safari hii una slogan nyingine mpya?
 
Manjesta mshajikatia tamaa ,mmebaki kuwa wapiga debe wa Mamacita

Endeleeni kukumbatia makocha matapeli kama 7hag

Na mnamleta Southgate,SAFI
 
Bado tuna imani na Baba Ubaya Le Professional coach Sir Eric Ten Hag kocha la makombe.
Wakati Arsenyau msimu uliyoisha yuko kwenye peak kwa kuongoza ligi kwa siku 258 na kuishia kumaliza msimu mikono mitupu, kocha la ball pamoja na ugeni wake kwenye ligi na timu mbovu aliyokua nayo lakini alifanikiwa kunyanyua kwapa.
Msimu huu tena ndugu zetu Arsenyani mnaondoka mikono mitupu wakati Baba Ubaya anaelekea zake fainali na kunyanyua kwapa kwa msimu wa pili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwapa gani hilo,

Msimu huu na kikosi cha €500m kaburuza mkia

Hakuna timu nyepesi kucheza nayo kama manjesta kwasasa

Nyie inatakiwa siku hiyo tupige 4-0 half time

Binafsi sijaona timu mbovu kama manjesta msimu huu ,Bora Luton wasumbufu, Kuna nyie manjesta na Sheffield united

Ukipiga pass moja ushafika golini kwenu
 
Hizi games za kumalizia ligi, zilikua zinatukuta tupo na majerui wengi, hasa hasa key players. Mfano msimu uliopita, partey, saliba

Msimu huu, majerui ndio wanarudi uwanjani huku tukiwa tunaongoza ligi kwa gap dogo mno.
Hapa inabidi tukaze sana. Kuna wakati itabidi tucheze mpira wa kinyumbu kupata points 3
Game za mwishoni, kila game huwa ni ngumu kwa teams zote.

Kuna battles ya wanaoshuka daraja
Sometimes Bora ucheze na Newcastle/nyumbu/Kenge kuliko timu inayojitafuta kutoka kule chini

Kuna battle la top 4 hapa anahitajitaka timu moja (Aston v, Spurs)
Arsenal, city na Liverpool kimahesabu hawa hawatoki ndani ya top 4

Kuna battle la Europa (nyumbu, Brighton, westham)
Lakini Kuna uwezekano mkubwa Kati ya Aston Villa au Spurs akashikilia nafasi ya Europa

Arteta inabidi achange karata zake vizuri, atulize akili na asiwe predictable
IMG-20240329-WA0046.jpg
 
Attachments

  • IMG-20240329-WA0033.jpg
    IMG-20240329-WA0033.jpg
    114.3 KB · Views: 17

Similar Discussions

Back
Top Bottom