Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599] BREAKING:

John Stones and Kyle Walker are OUT for the game vs Arsenal this Sunday, confirms Pep Guardiola. [emoji777]
Reaction yao ni hiii, masikitiko
20240330_014307.jpg
 
Wakati huo, nje wana defenders wa £77m na £67m nje kama mbadala.

Imagine wana hii mali as substitute
20240330_014156.jpg
 
Kuna kitu kikubwa sana ambacho mzee wenger mwishon kilimshinda kukitengeneza kwa quality aliyokuwa nayo.

Its about how to handle a pressure to deliver.wakati tunapotakiwa kushinda au tunapokuwa juu na kuna opponent anatufata kwa karibu basi mara nyingi hujikuta tunadondosha point.na hapa ndo tunepotezea vikombe vingi mno.

Ukiachana na strenth na weakiness za decline rice katika tactical na technical aspect,hapa arteta alilenga zaidi kusajili mentality ya mchezaji kuliko physical presence .Jamaa ana tabia za steven gerald mentally.yaani its not over until its over.

Kwanini rice mentally?ana self pride yenye faida,ana team pride,haamini mwingine atafanya ila yeye ndo atafanya,mechi kubwa kwake ni nafasi ya kustep up,anaongoza,analea wenzie,anahamasisha na mengine mengii.

Unaijua kazi ya james millner au vicent company wa city na captain arm band?basi mwangalie rice.

Siamini kama kikosi cha sasa kina quality kuliko vikosi vya miaka kumi iliyopita vya arsenal.
Unakumbuka fullback ya gael clitchy,bakar sagna?unakumbuka centere back ya vermaleen na laurent coscienly.?unakumbuka?

Kiungo cha carzola,wilshere,fabrigas,ramsey,rosicky,coquleen mtu kaz?song? Alexander hleb?samir nasri?

Hawa watu na wengine walikuwa na quality ila walikosa mentallity ya ushindi.they easily submitted to defeat within 90 minutes.hawakuhuzunika,hawakuumia ila walitazama mechi ijayo?. Kwa sasa pale nyuma kuna wauaji wenye tabia za kimafioso.a strong mentality gives you victory.
Mech ya kesho inaweza leta matokeo yoyote na hayatakuwa ya kwanza wala ya mwisho.

Arteta amewafundisha madogo kuinjoi game na kufeel game.Ila anakazi kubwa ya kujenga mentality ya ushindi ili achukue makombe
Arsenal? Yes ARSENAL
 
Mkuu asilimia kubwa ya hao wachezaji hawakupenda kugusana...they were more technical than physical...na ndo maana Manyumbu na Chelkenge yalikuwa yanatupelekesha kwasababu wakikutana ni mwendo wa kuwa bully kwanza then wakishaingia uoga mnatafuta namna ya kushinda....Sasa hivi tuna mijitu inacheza mpira wwte...ukitaka bolu safi tunacheza🤠..ukitaka Fujo sasa ndo kwnyewe hapo....muulizeni Pepe na kile kigenge chake walichofanywa...walileta vurugu nyingi lakini walikuja wakikubali🤠🤠...na hiki ndo tulichokuwa tunakililia mda mrefu...uwe na timu itakayocheza kwa namna yyte... beautiful or ugly football
 
Weekend hii tutaenda kuongeza gap la points pale kileleni

Kenge na nyumbu mnakaribishwa kutazama soka safi
View attachment 2948151
Watu wa aseno tunawakumbusha tu tulipoishia. Tunaendelea kuanzia hapa. Nasikia hamjacheza mwezi mzima mna uhakika hiyo timu bado ipo?
 
Attachments

  • Screenshot_20240317_215242_Instagram.png
    Screenshot_20240317_215242_Instagram.png
    1.4 MB · Views: 11
Hua tunaambiwa mashabiki wa united ni wajinga.

Hua hawaachi kua wajinga.

Yaani pr team huamua sasa hivi tupige mdundo gani hawa watu wasihoji kitu.

Mdundo wa Elanga, Onana, Casemiro, Garnacho sasa hivi wapo kwa Kobi.

Na walivyo wajinga zaidi wameanza kumfananisha na Saka.

Wapuuzi sana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Man utd A.K.A timu ya vilema . badala mpambane na timu yenu ipate matokeo ,mnakuja kutuimbia mapambio na ngonjera huku siku nzima.

Ona sasa mmetoa draw .. yaan mmefunga goli hata hamjashusha mikono, goli likarudishwa 😄😄😄😄😄😄

Brentford 1 : 1 wildebeest

Ila uzur wa man utd mna hamia man cty soon ndio inawapa furaha kidogo ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom