Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😂Msamaha watatuomba tu, huyu bruno tu, hapaswi kuwepo uwanjani mpaka muda huu
Kai vipi alistahili kumaliza dakika 90?
IMG_20231104_221706.jpg
 
Arteta amenisikitisha sana kumsajili Kai Havertz. Hii inaonesha kwamba mpaka sasa hajafahamu mahali tatizo la Arsenal lilipo.

Paundi 65m kama angetulia na akaziongezea kwa kumuuza Balogun, Tavares na Nketiah angeweza kumleta pale Osimhen. Kai sijui amemleta kufanya nini.

Usajili wa Declan Rice na Timber ni mzuri na kwa sehemu utasaidia kuimarisha kiungo na ulinzi lakini still Arsenal inahitaji goalkeeper ambaye yupo serious.

Wachezaji wa kawaida kama Reiss Nelson, Fabio Vieira, Rob Holding, Cedric Soares, Nicolas Pepe na Sambi Lokonga wanatakiwa kuondolewa haraka.

Msimu ujao nategemea Arsenal itabakia kwenye top four lakini masuala ya ubingwa tuendelee kuyasahau.
Nitaendelea kuwarudisha hapa ndugu zangu wa Arsenal. Arteta anatakiwa afundishe mid table teams.

Ukiliona dampo na ukaona takataka basi hapo ongezea na havertz, nketiah, Vieira, jorginho, nelson, cedric na zinchenko.

Gabriel Jesus, Rowe, Partey na Elneny ni liabilities, waondolewe mara moja maana ni trip shamba na trip gereji.

Mtanielewa mwezi wa tano 2024.
 
Bado Arteta anaendeshwa na kiburi na ujuaji usio na tija,hii gemu ukiondoa goli la off side,bado kiungo kilikuwa ni mfu sana, West ham na Newcastle wamemuonyesha namna tofauti kocha anatakiwa kuutizama mpira. Bado arsenal ina mlima wa kupanda kama itaendelea kutegemea aina ya wachezaji kama Kai.
 
Sababu nakukubali Acha YAISHE but Referees wa EPL wanaharibu sana Football
Yeah kabisa mkuu....utakuja kusikia tumeombwa msamaha na PGMOL sijui....yaani lile goli sielewielewi🤠🤠🤠...Bruno Guimaraes alikuwa anawatwanga kabisa mangumi uwanjani....yaani ni kama wiki nzima walikuwa Wana practice namna ya kutu bully tu🤠🤠🤠
 
Retired referee Callagher anasema Gabriel alifanyiwa faulu, but he is not sure kama mpira ulitoka nje wote
 
Salama kabisa mkuu....hii imeniuma kwlikwli ila acha tu tusubirie maneno ya shombo mseme weee...yatapita tu haya
Ndo mpr mkuu.

Nawasihii wakurugenzi humu hakuna haja ya matusi.. Tuongee utan tu.. Mpr unaleta hasira naelewa lkn tu control emotions zetu.

Yote kwa yote ningeshangaa sana kama leo hata mngepata draw yan kwa izi mido zenu za wauza ubuyu wakina Jorginho na Kai.. Sijui mnategemea mchukue kombe la maana na Nketiah .. Kuweni serious ndg zetu.
 
Tunahitaji forward tu...hii mechi Partey angekuwepo ingekuwa na wepesi kidogo... Georginho hawezi kupiga risk passes kabisa...yy ni mzee wa safe passes....alivyoingia Zinchenko ndo mipira ikawa mda wte mbele....kiukweli tuna safari ndefu ya kupambana na Man city
 
Kiukwl kuna maswal uwa nataman japo niongee na Arteta zoom meeting nimuulize.

Kwnz nimuulize alikua anamtaka Jorginho amsaidie nn lbd?.. Je aliona nn kwa Jorginho had ashawishike kumtoa chelsea akiamin ataisaidia Arsenal?

LA mwsh ningependa nimuulize Kwn Kai ni mtt wa shangaz yake?.. Kwn anaona nn cha muhm kwake had awe Panga pangua yupo?.. Au ni uwezo wake wa kucontrol aerial duels
 
Back
Top Bottom