Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,755
Kwa forwards zetu za sasa hakuna ambaye 100% anamnyima namba Jesus. Fair deal ingekua kupokezana.Nikimtizama akiwa benchi naona anakosa furaha, hajioni kama yeye ni mchezaji wa benchi, haoni kama yule anayeanza kamzidi. Kuna wachezaji wakianza nawe uko benchi wala husononeki, unachoombea ni timu ipate matokeo mapema/waumie au kuchoka ndio upate nafasi, na wakati mwingine wakiumia na matokeo bado hata wewe wa benchi unasononeka(unapagawa)
Mchango wa Kai umekuja kwa kuaminiwa mara kwa mara mpaka confidence imepanda na ana bahati jamaa hapati injuries sana. Jesus ukimuamini games mbili ya 2 anapata injury anakaa nje game 4 mpaka 6.
Lakini kusema kwamba Arteta ana hamu jamaa aondoke hapana. Bado Jesus ana uwezo wa kucheza namba ya Odegaard, Saka, Martinelli na 9