Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama tulivotarajia wagen waalikwa hapo awali tulijua mgonjwa ana hali mby na leo ilikua lzm afe kwa namna yoyote ile.

Ningewashangaa sana Newcastle kama Taasisi wafungwe na hawa Arsenal wenye midfielder ya kina Jorginho na Kai.. Na wakina Nketiah kiukwl ningeshangaa sana.

Ndg wagen waalikwa ukitaka ujue dunian tunatofautiana uwezo wa kufikir bas nipende kuwaambia kua kuna mashabik wa Gunners wanaamin msimu huu eti Arsenal itabadilika kua team ya makombe serious ama kwl tunatofautiana sana kwny uwezo wa kung'amua mambo.

Khs mazishi tumekubaliana kutokana na marehemu kua na mdomo tutafukia hrk hrk kila mtu akaendelee na shughuli zake za msing.. Ahsanteni kwa Kuja.
 
Unbeaten ipo wapi 😂😂😂😂
FxuhxAkWAAYWMvL.jpg
 
Liver naona walilianzisha sasahv marefa hawawazoei tena...hili zimwi limehamia kwetu....ule mpira inaonekana ulitoka kabisa....halafu tena Gabriel alisukumwa na msela kwny like goli🤠🤠🤠...ila ndo hvyo tukubali tumedundwa tu
Yah, kukubali lazima, tumefungwa hilo halina ubishi.
 
Back
Top Bottom