Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni wakuu wenzangu wa gunners.

Moto uendelee .

Naona majukumu leo yamenikosesha mechi.

Timu iendeleza ushikamano.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
......yaani ni raha tupu!!!!!

Big up kwa gunners wote...Spurs nepi zinawabana!
 
......kibelaaaaaaaaaa.....nyavu zimenasa kibela! Ha ha ha...
heheh sawa bana! kuna shabiki la gunners limevunja gilasi za watu hapa pub na hela ya kulipa hana. Kajifanya ana furaha sana sasa yupo chini ya ulinzi mpaka alipe gilasi za watu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Arsenal manager Arsene Wenger:"I never questioned our spirit. This was a game of absolute commitment on both sides. Newcastle are a good team and it needed something special to beat them.
"What did beat them was our relentless effort to win. In the end, we won it.
"I never thought we wouldn't win. I said to my assistant that we needed one more attack and we would score, so much was our belief."

BBC

 
Newcastle manager Alan Pardew on BBC Radio 5 live:"Hatem Ben Arfa showed his quality for his goal but his work-rate throughout was also spot on. To get beaten in the last minute is really sickening for us. Great teams score late goals but overall we deserved a point."


BBC...

My Take:

Did they really deserved a point????? No way... We outplayed them all along... Its just just their Keeper was in form and their defense was SOLID.....
 
heheh sawa bana! kuna shabiki la gunners limevunja gilasi za watu hapa pub na hela ya kulipa hana. Kajifanya ana furaha sana sasa yupo chini ya ulinzi mpaka alipe gilasi za watu.

At least Ana furaha na deni... kuliko ingekuwa the opposite....
 
heheh sawa bana! kuna shabiki la gunners limevunja gilasi za watu hapa pub na hela ya kulipa hana. Kajifanya ana furaha sana sasa yupo chini ya ulinzi mpaka alipe gilasi za watu.

....hahaha....mlipie bana....he he!
 
....hahaha....mlipie bana....he he!
Dah! kwa zarau alizokuwa analeta wakati wa gemu hata Mungu atakuwa pamoja nami jamaa nikimtosa. Hamjapiga na blues wala city si ndio? acha tusubirie. finger xed
 
Dah! kwa zarau alizokuwa analeta wakati wa gemu hata Mungu atakuwa pamoja nami jamaa nikimtosa. Hamjapiga na blues wala city si ndio? acha tusubirie. finger xed

Which blues? Unamaanisha yule kenge wa darajani tuliyeenda kwake tukamtoa majini, tukamcharaza bakora 5 mbele ya mkewe na kumrudisha mkewe akamkande maji?

Hakuna ubwete kama Chelsea, marehemu wa soka. Na kesho watakiona kwa Napoli, Cavani 2 - 0 Chelsea
 
Wakulu,

Mimi napita tu maana furaha tuliyo nayo haina mfano.

Arsenal kwa sasa inacheza game tena game hasa maana Newcastle walipania hasa kuvuruga. Wakashindwa speed ya Arsenal ni kali sana.

Sasa mzee Wenger ambae usajili wake wa mwaka jana ulileta maswali sasa yanajibiwa. Arteta sasa anachanganya vizuri na pale katikati hapana tatizo.

Newcastle walikuja na plan kwamba waibane midfiled ya Arsenal waliwadhibiti Rosicky na Song na walipewa kazi hiyo Check Tiote, Gabriel Obertan na Yohan Kabaye. Kwa hali hio walifanikiwa kwa kiasi kikubwa na wakapata goli kupitia Ben Arfa.

Lakini kama kawaida ya timu zikienda Emirates zinaanza kucheza 10 men behind the ball na wakawapa Arsenall all ball possession.

Tunakwenda Merseyside kucheza na Everton na Ander Santos huenda akacheza kipindi cha pili maana Gibbs is so good at the moment.

Ile kazi niliyopewa ya ku-deal na Artillery division inaleta matokeo mazuri tunataka nafasi ya tau kama si ya pili.

Tatizo la kazi hii unashinda mno kwenye kuchora designs mbalimbali za artillery na research inachukua muda mwingi kuhakikisha weapon system yetu ni ya kuotea mbali.

Kila la kheri wakulu.
 
I liked the goal scored by RVP.......huyu kijana na Silva wanastahili kuwepo kwenye timu ya FIFA......hongereni sana washika bunduki....keep it up!
 
The Gunners are making me a proud fan. Before Feb 14, people were mocking us, that we won't even be in top 6. Now we are going for the 3rd. My boys are fighting hard!
 
Back
Top Bottom