Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa jamaa wanajipanga vyema sana kulinda Goli... katikati tushawadhibiti.....
 
Japo huwa kana bahati haka ka RAMSEY ila hii sub sijaipenda hata Kidogo.....
 
RVP Hana kawaida ya kukosa za dizaini hii.... Hiki sijui kimavi??????
 
That Goal was Fantastic.... Very nice TV5...........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Van parsie na Kipa wa new catsel (Cruel ) inonekana wana Beef zito toka kwenye timu yao ya taifa . Van parsie kapata t kadi ya njano
 
VArmaleeen yuko ammaezi maarfifa gervinho . The defender can e can striker. Wakati gernviho alikuwa anasubiri mpira varmeleen ameonyesha kinachomis pale mbele
 
jamani nafasi ya tatu inanukia .... gooners together we stand
 
Back
Top Bottom