Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Jamani tumeeshinda? Niambieni basi
Tumeshinda 2-1 jipongeze ngoja nipate wine ya ushindi
Jamani tumeeshinda? Niambieni basi
FULL TIME! Somehow, Arsenal did it. They looked set to miss out, but Vermaelen's injury-time finish gave them the win they deserved. Newcastle defended well but were second-best today. Arsenal move to within a point of Spurs in third place! - Yahoooo euro sport
Hivi hata maji umekunywa wewe???
Pole na hongera sana!!
Babu DC!!
Hongereni wadau wa
Gunners ingawa najua mmekalia kiti moto kwa zaidi ya dak 90!!
Babu DC!!
hahaha babu DC napata ile kitu ya kusheherekea udhindi
mzima wewe karibu
Asante sana...hapa nina furaha ya ajabu! Have a great night too!Kama mimi hongera lala unono
Tunawasubiri emirate tuwafundishe mpira!hongereni naona vampire anataka watu wasichukue hilo lakuchumpa la EPL nini..
Mie niko powa, ...nilikuwa nawachungulia mlivyokuwa mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga....Lol!!!
Ila tarehe 8....mhhhh...Nitajificha mie,
Babu DC!!
Imebaki point moja tu!Dah! sawa, hongereni bana.
Adui nimemwombea njaa sana lakini dua halikujibiwa.
Asante sana...hapa nina furaha ya ajabu! Have a great night too!
Dah! sawa, hongereni bana.
Adui nimemwombea njaa sana lakini dua halikujibiwa.
Tunawasubiri emirate tuwafundishe mpira!