in flash of a sec Tumerudisha.....RVP................
Lucky u guys for having RVP on your side.
Hivi ni kwa nini wachezaji wengi wanaotamba Arsenal wakiondoka hawatambi katikaa timu wanazohamia?......And the gossip say man city wants him. The havent leartn a Lesson from Sami Nasri. Sitashangaa kuskia wanamuuza
Leo dogo kapotea sana!Ox kama hayupo vile... Ficha flani hivi....
Hivi ni kwa nini wachezaji wengi wanaotamba Arsenal wakiondoka hawatambi katikaa timu wanazohamia?......
Nasri, Adebayor(akiwa Man City), Flamini, Hleb na wengine wengi.......
And the gossip say man city wants him. The havent leartn a Lesson from Sami Nasri. Sitashangaa kuskia wanamuuza
Wenger is exceptionally unpredictable when it comes to making such decisions.