Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Katavi karibu beer tushehereke ushindi. Hongera washika bunduki wote
Japo Historia inawafavour manu lakini kesho anapigishwa mtu mdundiko. Mazee tukimgaragaza manu kesho ndio imetoka iyoooooooo. Fixture yetu iliobaki bora tupangwe na mtibwa tuChelsea wamefungwa, safi sanaaaaaaaaaaaaaaa bado spurs sasa wapoteza points kesho.
Mkuu. Bala asante kwa maombi yako.
Yametimia....Safi sana.....Mi naombea Chelsea nao wachapwe leo......
co kwake 2 na golikeeper manake leo ka2beba sana
Japo Historia inawafavour manu lakini kesho anapigishwa mtu mdundiko. Mazee tukimgaragaza manu kesho ndio imetoka iyoooooooo. Fixture yetu iliobaki bora tupangwe na mtibwa tu
Dah! viwete tangu last week mna mdomo kweli, hivi lile gem la leo si ni zali tu. Hakyanani ule mchaka mchaka mlitakiwa mlambwe si chini ya tatu. Venger mwanga banaMkuu tatizo mnabahatisha bahatisha tu.
Katavi karibu beer tushehereke ushindi. Hongera washika bunduki wote
Nakudai wewe na wenzio...Siwezi kutoa sala zangu bure...
I hope mmepata relief......Hongereni sana!!
Babu DC!!
Dah! viwete tangu last week mna mdomo kweli, hivi lile gem la leo si ni zali tu. Hakyanani ule mchaka mchaka mlitakiwa mlambwe si chini ya tatu. Venger mwanga bana
Sijui ndio vijana wameanza yale mambo ya ushindi mfululizo?!
Nimefurahi mno lee, wameshinda bila kucheza vizuri sana!
Naona kama kuna matumaini tukicheza na AC Milan.....?!
Wakubwa mnaonaje??
Hongereni sana Arse8,tusishangilie sana tujiandae na AC Milan
1OT3NHAM HOT5PURS2 ni tawi la Man United. Kila siku wanatepeta tangu 2001. Well, that's good for Arsenal