Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwenye mpira kila kitu kinawezekena! We need just 2 goals!!
 
Japo upande wa gernvinho kule milan wamebana sana Rosiscky anaonekana kuwapeekesha na twist and turn zake
 
Kwenye mpira kila kitu kinawezekena! We need just 2 goals!!

Kwa ufungaji arsenal haina tatizo kubwa . Tatizo ni baance ya ufungaji na beki. Huku kwenye beki huku ndio ????? So far kosch naona yuko njema..... Ila sagna na Giibs tayari wana kadi za njano
 
Back
Top Bottom