Mi naombea Chelsea nao wachapwe leo......Sasa kesho kuwashangilia united wawafunge spurs.
Weekend safi sanaaaaa hii.
Duniani Hakunaga kama Van Persie!!
Sasa kesho kuwashangilia united wawafunge spurs.
Weekend safi sanaaaaa hii.
Spurs atashangaza watu kesho....
Lazima meshatani watalia tu!
Babu DC!!
Hawapo siku hizi....
Kesho nipo upande wa man U!!sidhani Rooney mpenda sifa Yupo fit ... spurs atalia tu ..
Duniani Hakunaga kama Van Persie!!
jamani tusimsahau song jamaa mi nadhani ni 2nd engine ya arsenal huwa anatoa zile crusal crosses ... katika right moment to a right person... song anafuture nzuri mbele yake ..