Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shukrani ziende kwa Van Persie pia hongeren gunners wenzangu sababu ndiyo shukran pekee yakumpa Mikel Arteta
 
jamani tusimsahau song jamaa mi nadhani ni 2nd engine ya arsenal huwa anatoa zile crusal crosses ... katika right moment to a right person... song anafuture nzuri mbele yake ..

Kama unakumbuka kuna ile alimpa Henry vs Leeds, then RVP vs Everton, alafu the recent ni ile ya Walcott vs Spurs, ukijumlisha na leo dah.. Song ni noma. Tatizo wachambuzi wamekariri tu watu wao!
 
140617123.jpg

Arteta alivyoumia...

140616882.jpg

Hekaheka golini kwetu....

140616476.jpg

Dogo anacheza penati...

140617330.jpg

Engine ya ukweli hii....
 
Hongereni Arsenal As LFC Fan nampa Heshima Van Parsie jamaa anajuwa ndani ya nyavu ni wapi leo Best Player kwa Arsenal alikuwa Kipa then Van Parsie na Mwamba wa golini kwao. huyu Van Parsie waombe asiumie akiumia sizani kama mtamsikia mtangazaji Goooooooooal kila Arsenal ikicheza Ukisikia Mtangazaji Goooooal wewe Bet na wapembeni mwambie Mtangazaji atasema Van Parsie huyo jamaa anatisha kama H.I.V.
 
Kama ni kombe kwenda Man U au man city tu utapendelea nani alibebe. Mi nadhani watoe draw tu
Kwenye kombe hapo paache!!
Inabidi spur5 kwesho wafungwe ili gap libaki 4 points. With 4 points diff, arsenal inaweza ikamaliza ndani ya top 3
 
Kama unakumbuka kuna ile alimpa Henry vs Leeds, then RVP vs Everton, alafu the recent ni ile ya Walcott vs Spurs, ukijumlisha na leo dah.. Song ni noma. Tatizo wachambuzi wamekariri tu watu wao!

Na kuna nyingine ya song kali kuliko zote kwangu ni ile ya champions league. alivyowatoka wachezaji wawili kwa ile zigzag ya kutumia mguu wa shoto na kulia alafu akachop mpira kwa van. Kazi ya Van ikawa ni kichwa tu ......
 
140618333.jpg

Kitu cha pili....

140618355.jpg

Reina amekwenda marikiti......

140617893.jpg

Raha ya ushindi....



140618334.jpg

Sijasikia.......Pigeni kelele.....

140618332.jpg

Watu weweeeeeeeee.....

140618339.jpg

Safi sana kaka.....

140618390.jpg

Pole sana mzee!!!!
 
Akhsante RVP kwa kutulisha maini(livers) pale anfield!

Nasikia wanampongeza Koscielny kuwasaidia kufunga maana ingekuwa balaa .... .... .. walikuwa hawaoni goli bali miamba kutokana na Szczesny kuwa makini leo baada ya kula mkong'oto kutoka kwa prof.
 
Back
Top Bottom