Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Swala sio Wenger kuondoka, sisi tunataka timu yetu ifanye vizuri
Kwa ukweli nionavyo mimi timu yetu hii hii ya msimu huu sio kama ni mbovu ila kuna kitu kimekosekana, ukiangalia mechi ya jana inakatisha tamaa kabisa yaani wachezaji wetu kisaikolojia walionekana wako dhaifu, hakuna kucheza na ari, ukiachilia O. C, R.V.P na T.V.5 wachezaji waliobaki yaani walikuwa wanacheza kama wamelazimishwa na vigulovu vyao yaani inakera sana. Nidhamu pia mbovu, confidence zero.
Katika sifa kuu za meneja ni kuwajenga wachezaji kisaikolojia, kuwajenga confidence na ari ya kupigana 100% mchezaji akiwepo uwanjani , Arsene sio motivator kama Redknapp ama O'Neill. Tatizo la Wenger ni mkaidi, nadhani anahitaji kuajiri msaidizi mwenye sifa za kuwajenga imani wachezaji na mtu ambaye ni motivator. Wachezaji hawa-hawa tulionao kama watapata meneja kama Redknap watacheza kwa asilimia 100% angalia mfano tofauti ya Gallas ama Adebayor wakati wapo Arsenal na walipojiunga na Spurs! Mijichezaji yetu kama Arshavin, Walcoltt, Chamakh, Diaby na Djorou inacheza mechi nyingi chini ya kiwango 50% still bado ipo inachaguliwa mechi hadi mechi na inatukosti mechi hadi mechi.
Ni wakati sasa wa kumuwajibisha Wenger kwa sababu atueleze kwa nini wachezaji wake hawachezi kwa kujituma 100%? Tatizo ni nini? Wapenzi tumechoka sasa.
Ubingwa ni Manchester United nafasi ya pili ni Manchester City nafasi ya tatu ni Spurs ya nne Chalsea.
Endelea kuota na mashoga wenu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Je ni kweli tutaweza kujitetea hadi mwisho wa msimu kwenye hii nafasi ya 4?? Arsenal need to hardly maintain this!!
Mnasikitisha The Gunners,Poleni tena!!..Halafu hii timu inampa presha sana mahabuba wangu, nimemwambia aache kushangilia anadai bado inatisha..khaaah!!!
Naona Mr. Bean kaamua kumtosa Captain wa Russia
Mandela is lucky Ramsey is injured. Lasivyo kesho pasingetosha..
...hahaha, very superstitious!!!
Nakubaliana na wewe pamoja na mapungufu ya Captain wa Russia,ilikuwa sio wakati muafaka kumuacha katikati ya msimu wakati hajapata replacement yakeGone too soon. I guess hii itafanywa kuwa permanent deal mwisho wa msimu! Naamini bado tulikuwa tunamuhitaji. Ninachoshindwa kuelewa ni kwanini Wenger hakutaka kusajili Januari alafu saa hizi anatoa wachezaji kwa mkopo wakati hali ni mbaya!