Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongera zao Sunderland, wamecheza vizuri mwanzo mpaka mwisho na wana deserve ushindi.

Poleni ndugu zangu wa gooners tusubiri kesho Wenger atuambie tunaelekea wapi sasa na lengo letu ni lipi kwenye mechi zilizobakia kwenye ligi na plan ya kukamilisha lengo letu.

Tuombe mungu majeruhi wapone haraka.

Tuko pamoja wakuu , let's keep our heads up.
 
Now let me sit back and enjoy while Arsenal fans go on with their heart 2 heart talk about what AW would've,should've,could've done.
 
jamani spurs sijui watatufanya nini maana kikosi cha Leo kilikamilika na dozi tukapewa ..
 
tumechapwa na si kwa kuonewa kihalali kabisa sunderland wamepiga game kiukweli!
 
Something is wrong with Arsenal, Liverpool, Chelsea.... is it EPL revolution or players are not hungry anymore?/ even MANURE is not the same team and EPL has no threat to europe anymore
 
miaka saba bila hata kikombe na kocha bado yuko kibaruani tu,haingii akilini pamoja na kuwa na kocha msomi,mwenye uzoefu wa muda mrefu tu..ni wakati wa yeye (AW) kulinda heshima yake kwenye ulimwengu wa soka na klubu pia..ni bora akastep down mr excuse
 
Ukweli nimeumia lkn nimefurahi kidogo na furaha yangu itazidi pale endapo ha2weza kuingia kwenye top 4 ili mashabiki wa kule uingereza waumie sana na waweze kushinikiza mafanikio ya klabu kwa ku2mia force hata ikibidi kwa kuingia barabarani.
 
jamani spurs sijui watatufanya nini maana kikosi cha Leo kilikamilika na dozi tukapewa ..

Hahahaha nimecheka sana aiseee,subiria mkuu wala usiongee mapema yote hii alafu na hiyo defence yenu kazi mnayo mbona,poleni sana aiseee
 
Gervinho sijaona alichokifanya leo, bora angebaki Gabon. Sub ya walcot nayo haikuwa na manufaa. Sikuona kwanini Rosicky aanzie bench.
Wenger msimu wote huu amekuwa ni mtu wa kujaribu wachezaji kwenye mechi za muhimu. Hana uwezo tena wa kuwajengea wachezaji spirit ya ushindi. Hata mchezaji akifanya vibaya anamtetea na next game anampanga! Bora aondoke tu! Nimeshamchoka!
 
Wakuu mbona mkishinda hamlalamiki??ila mkifungwa mnapiga sana kelele kocha aondoke why wakuu??basi muwe na msimamo,mkishinda still muwe na msimamo kocha aondoke sio tu mnapofungwa ila poleni sana kwa kichapo...Alafu mlikuwa full squad...
 
Something is wrong with Arsenal, Liverpool, Chelsea.... is it EPL revolution or players are not hungry anymore?/ even MANURE is not the same team and EPL has no threat to europe anymore

Arsenal sisi tumerudi nyuma, tumeshindwa kureplace wachezaji tuliowaachia.

Liverpool nyie uzembe tu, wachezaji wenu mliokua nao kwa kiwango cha ligi sasa hivi mlitakiwa muepo top 4.kocha wenu na wachezaji pia hawajitumi vya kutosha. Beki yenu pia mbovu.

Chelsea, bosi wao. Anawachanganyia habari, kila siku kocha mpya ,wachezaji wanajifunza mbinu mpya kila siku,hawapati mda wa ku_adapt.

Manure wameshiba, usajili wao wamefanya kwa vile wameona hakuna threat ligi ya nyumbani na imeenda kuwa cost nje.

Hayo maoni yangu mkuu.msimu huu mwenye njaa ndio ataibuka kidedea.
 
Gervinho sijaona alichokifanya leo, bora angebaki Gabon. Sub ya walcot nayo haikuwa na manufaa. Sikuona kwanini Rosicky aanzie bench.
Wenger msimu wote huu amekuwa ni mtu wa kujaribu wachezaji kwenye mechi za muhimu. Hana uwezo tena wa kuwajengea wachezaji spirit ya ushindi. Hata mchezaji akifanya vibaya anamtetea na next game anampanga! Bora aondoke tu! Nimeshamchoka!

Mkuu, ukianza kubebesha lawama mmoja mmoja utakua unawaonea, kifupi leo tumefungwa kwa vile tumezidiwa mbinu. Sunderland wamekaba vizuri, wameshambulia vizuri.
 
miaka saba bila hata kikombe na kocha bado yuko kibaruani tu,haingii akilini pamoja na kuwa na kocha msomi,mwenye uzoefu wa muda mrefu tu..ni wakati wa yeye (AW) kulinda heshima yake kwenye ulimwengu wa soka na klubu pia..ni bora akastep down mr excuse

Kocha yuko kibaruani kwa vile katimiza malengo muhimu yote kwa muajiri wake. Na. Kwa vile kikombe kwao sio lengo lao kubwa, ndio maana kocha bado yupo, Wenger kawasaidia ku-balance kitabu ndio maana wanapenda.

Kwani shuleni kama mtu ajamaliza wa kwanza ina maanisha hana akili? Matokeo ya miaka saba iliopita yameendana na malengo ya timu.
 
Ukweli nimeumia lkn nimefurahi kidogo na furaha yangu itazidi pale endapo ha2weza kuingia kwenye top 4 ili mashabiki wa kule uingereza waumie sana na waweze kushinikiza mafanikio ya klabu kwa ku2mia force hata ikibidi kwa kuingia barabarani.

Kuwa shabiki wa Arsenal inahitaji roho ngumu kweli!
 
Back
Top Bottom