Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

List limetoka.

Szczesny, Sagna, Koscienly, Tv, Gibbs, Song, Rosicky, Arteta, Benayoun, Walcott, Van Persie.

Sub park, Ox, Gervinho, Jenkison, Fabianski, Chamakh, Miquel

Kila la kheri gunners wenzangu, ushindi. Muhimu leo.
 
OX na Gervinho wanaanzia Bench then Walcott ndani???? AW vp???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
aise Walcott anafanya nini huyu dogo hawezi cheza mpira wa kazi mpira wake ni ule usiniguse
Arsenal waombe mungu lakini Sagna ni uchochoro bado ni mzito ameanza kutoka kitambi TV 5 hawezi cheza kati kwa leo sio mechi ya kumuweka kati
Safari njema wazee
 
Halafu.....Huyo Benayoun si wa kuingia dakika 20 ama 10 za mwisho?........Ni heri angemuanzisha Gervinho ama AOC....

AW haishi vituko........Sijui ndio kuchanganyikiwa ama....
 
Nakubaliana na wewe pamoja na mapungufu ya Captain wa Russia,ilikuwa sio wakati muafaka kumuacha katikati ya msimu wakati hajapata replacement yake

Kwel hapo Mzee kachemka kwa mara nyingne..sijui ndo anaona msimu ushaisha kwake na nafasi ya nne ndo tunaanza kupoteza matumaini.Msimu ujao ni Europe League.
 
mimi ni mshabiki wa Man utd!hivyo sebuleni kwangu ni ktk uzi wa man u,hapa ktk thread hii ni kama uani!hodi hodi nimewaingilia huku huku uani!oh saha!kituuu!
 
Naanza kuwa na wasiwasi na hawa mabeki wawili kosck na Vam na huyu kipa!
Goli la kipuuzi sana hili
 
I feel sorry for the Gunners! Ila ndio vizuri Liverpool apate nafasi ya 4
 
maumivu yameanza mapema tumepigwa 1 dkk 4 tu,ila refa katunyima penalt 2 anapeta tu.
 
Back
Top Bottom