Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

natamani adebayor afunge goli nione atashangiliaje!teh!teh!teh!nadhani hata arsenal wanatamani awafunge waone atashangiliaje!lol
 
Arsenal lazima wawe waangalifu maana dalili zinaonesha wanacheza against 12 players (including the referee)
 
Mimi nina wasiwasi hata wachezaji wamemchoka AW na wanaamua kucheza vibaya ili kumkomoa........Haiwezekani tukawa tunafungwa kipuuzi kiasi hiki...
 
Mbele hatutishi wala nini. Tumekosa mtu wa kuikimbiza beki yao kama Ox au Gervinho.

Kama tunataka kupata goli lazima mabadiliko yafanyike half time.
 
Du! Yaani huyu Walcott yupo timu ya taifa kweli? Ndio maana Uingereza hawatashinda chochote kama wachezaji wenyewe ndio hawa.

Why is AW playing him? where is the Ox?
 
Back
Top Bottom