Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
Nakwambia, leo haka katimu katazabwa mabao haka. Nyie ngojeni tu muone.
Mkuu subiri uone tu.....
Nakwambia, leo haka katimu katazabwa mabao haka. Nyie ngojeni tu muone.
Mhh magoli mengi si hata mawili ni mengi lol
Huwa simkubali Wenga na tactics zake! Hii game kakosea kuipanga!
Tuendelee tu kujipa moyo. But Henry anahitajika angalau atufungie tu kamoko.
...nahisi wale wasiomzimia Per Mertersacker leo wanaweza kuona kwanini ana fit vizuri na Kos,....kama Verminator anavyo partner vizuri na Djourou...
IMO leo hapa hatumhitaji Henry. Anahitajika The Ox upande ule wa kushoto, Rosicky acheze kati Ramsey aende ubao...
anyway, ARSENE WENGER knows better...
kipindi cha pili we'll come up strong...
Huwa simkubali Wenga na tactics zake! Hii game kakosea kuipanga!
Sijui nitoe pole mapema au itakuwa ni uchuro??!
Sijui nitoe pole mapema au itakuwa ni uchuro??!
Tuendelee tu kujipa moyo. But Henry anahitajika angalau atufungie tu kamoko.
lol....mrembo...upo? happy valentines bana....
urudi baada ya dakika 45 za kipindi cha pili...
BTW, alhamisi mnacheza wapi? heheh
...mkuu, hizo 45 mins tactics zozote ambazo angepanga still milan nao walijipanga na tactics zao pia....tusubirie nxt 45 mins ndio tutaweza m judge na mabadiliko au la....
sina wasiwasi sana na game hili...uwezo wa kusawazisha na kuongeza bado upo...
WE ARE THE GUNNERS!!!
Msimu huu hamna game ya Arsenal niliyoiangalia kwa raha. Zote presha tu, hata tukishinda inakuwa kama tumebahatishanshakata tamaa .. tutafute hata cha ugenini