Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
Wakuu ngapi ngapi??nipeni majibu plz.....
Inamaana hausomi hizo post au ujeuri 2?dk 81 Acm 4-0 Arsenal
Wakuu ngapi ngapi??nipeni majibu plz.....
Djorou hivi anafanya nini Arsenal?
Kaongeza maumivu tena
4-0
...kiukweli tunahitaji goli angalau goli moja hapa, otherwise tutabakia kuangalia wale jamaa wa alhamisi...
dahhh. tumeishiwa.....la nne hilooo....:A S-coffee:
Mkuu mkitoka hapo ndio mnatufata au inakuwaje??
Bora ukalalae BJ ila isije ika haya matokeo yaka yanaakisi motekeo yenu ya alhamisi. Uzuri na nyie mshatolewa humu la sivyo maumivu yangekuwa mara kumi zaidiNyie Arsenal bora nilale mana sioni hata ninachowaangalia. Leo mtaiota hii mechi mpaka muwe na midadi!
Poleni sana watani ila tumeshazoea matokeo yenu..veri easy kutabiria. Alhamisi mkamilishe ratiba, AC wameshapita.
Hii mechi haina tofauti na ile ya Man U tuliyochapwa 8
Nyie Arsenal bora nilale mana sioni hata ninachowaangalia. Leo mtaiota hii mechi mpaka muwe na midadi!
Poleni sana watani ila tumeshazoea matokeo yenu..veri easy kutabiria. Alhamisi mkamilishe ratiba, AC wameshapita.