Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

milan wanenjoy mchezo wao sijui na leo tutaondoka na point3 za posession naona jamaa wako vizuri kila idara
 

....team haina uhai kwenye wings...i hope, just hope The Ox ataingia kuipa team uhai....lakini kwa ninavyomjua
gaffer wetu, hachelewi kumuingiza Arshavin!...lol
 
....ok....song centre half sasa.... heheh.....
 
Makocha wazuri wako wengi siku hizi, kinachohitajika ni uwezo wa kununua wachezaji, hilo wenger bado halitambui as yuko kwenye past paradigm na hawezi ona.


Uwezo wa kununua wachezaji!!!! Footbal ni team game sio player game tu kama tennis mkuu. Unaweza kununua wachezaji wakawa kina Tevez ao roone akigombana na mkewe anamtishia kocha anataka kuhama timu .

Ndio nimesoma sehemu k una Timu kibao zinachunguwa huko UK inawezeana zikawekwa under administration. Sababu ya expediture kuzidi income na mambo ya kodi .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

lol....mrembo...upo? happy valentines bana....
urudi baada ya dakika 45 za kipindi cha pili...

BTW, alhamisi mnacheza wapi? heheh

Nipo dia poleni kwa kichapo mana hamtoki hapo..Happy Valz nawe, naona ulifichwa!
Acha kunizingua kuhusu alhamisi..ha ha



Kumbe na wewe BJ mchokozi . timu unaypendelea wewe ni ipi ? au ilishatolea kwenye hilo kombe zamani ndio maana umepata muda wa kuja kuchokoza lol hahahhha

Niache kuchokoza tena, ha ha..sisi tulishatolewa kitambo na watu walifurahia sana, mie ni Maure damu..! Poleni maana mmeshaongezwa la 3. leo mumseme AW mpaka mchanganyikiwe🙂)
 
KevinPrince-Boateng-AC-Milan-San-Siro-Champi_2719307.jpg


KevinPrince-Boateng-AC-Milan-San-Siro-Champi_2719304.jpg


KevinPrince-Boateng-AC-Milan-San-Siro-Champi_2719305.jpg
 
...kiukweli tunahitaji goli angalau goli moja hapa, otherwise tutabakia kuangalia wale jamaa wa alhamisi...
dahhh. tumeishiwa.....la nne hilooo
....:A S-coffee:
 
Nyie Arsenal bora nilale mana sioni hata ninachowaangalia. Leo mtaiota hii mechi mpaka muwe na midadi!
Poleni sana watani ila tumeshazoea matokeo yenu..veri easy kutabiria. Alhamisi mkamilishe ratiba, AC wameshapita.
 
Djorou hivi anafanya nini Arsenal?
Kaongeza maumivu tena
4-0
 
...kiukweli tunahitaji goli angalau goli moja hapa, otherwise tutabakia kuangalia wale jamaa wa alhamisi...
dahhh. tumeishiwa.....la nne hilooo
....:A S-coffee:

Ndio kilichobakia...najua mtajifariji kwamba mliwapiga Inter 5-0 San Siro!!
Hivyo mnaweza kumpiga AC Milan 5-0 Emirates..

Khe khe khe khe khe
 
Back
Top Bottom