Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

2-0!
Sidhani kama kuna ushindi tena hapa.
Arsenal hapa tunapigwa nyingi
nadhani tukijaliwa sana ni dar au mbili moja.

Ila sijui kwa nini wenger haumuamzisha dogo olexad chemberlain number saba walcot angekuja baadae kabisa. Walcot namuona kaa impact
 

,,,,calm down guys, we are still safe!....
:A S-coffee:
 
Arsenal wanakosea kucheza mpira slow kwa terms za Ac Milan . Wanatakiwa wacheze mpira wa kasi.
 
Huwa simkubali Wenga na tactics zake! Hii game kakosea kuipanga!
 
Back
Top Bottom