Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hapana wakuu bora chelsik afungwe itakuwa advantage kwetu
 
hapana wakuu bora chelsik afungwe itakuwa advantage kwetu
Yeah nakubaliana na wewe mkuu. Man City leo kashinda, so kushindwa kwa Man Utd hakuna msaada wowote kwetu. Chelsea inatakiwa afungwe ili tumkaribie kwenye nafasi ya nne. Kwa mara ya kwanza kesho nitataka Man Utd washinde!!!
 
nataka gemu ya leo iwe droo tu...
 
asante nawe hongera Michelle wakitupa raha namna siku za kuishi zitaongezeka

Kwa kweli,tuombe tu huu uwe ndo mwanzo wa mafanikio mwaka huu na kuendelea....nimefurahi kujua unasapoti Arsenal dear!

Pamoja sana kwenye raha na karaha za Arsenal.....😛oa
 
hizi post zimepotelea wapi?......au ni macho yangu yana matatizo!......kulikuw ana post around 900s.......lakin sasa ziko chache what happened?.........
 
[h=1]Arsenal FC: Frank Rijkaard Is the Perfect Successor for Arsene Wenger[/h]

[h=3]By[/h][h=3][/h][h=3](Featured Columnist) on February 8, 2012[/h]
2,016 reads​
10

Use your ← → (arrow) keys to browse more storiesNext
81055408_crop_650x440.jpg
Jasper Juinen/Getty Images​
Reports in the Daily Mirror suggesting that Arsene Wenger is a prime candidate to take over the French national team have only added to the volume of speculation regarding the future of the Gunners boss.

Whether Wenger leaves for pastures new or falls victim to underachievement and fan pressure, Dutchman Frank Rijkaard would be the ideal choice to replace him.

....naombea rumours hizi ziwe kweli!

Back
Top Bottom