mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Mkuu,yaani we acha tu! naipenda Arsenal kupita maelezo....yaani Arsenal ni kama dini yangu!.Tatizo let ni AW na mfumo na si kingine.........
Binafsi naumia kama unavyoumia wewe lakini ndo malipo ya KUPENDA hayo.........A
Always a gunner.......
Lakini Arsenal ya miaka hii 3 iliyopita si lolote si chochote ni kutafutiana presure tu.
Kusema kweli imeniumiza sana! kibaya zaidi unalipia Dstv primier 130,000 kwa mwezi alafu timu yako haifanyi vizuri'shit!!!!