Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

utamsikia AW:we r back on track from couple of game... shiit
 
Wakuu hongereni sana kwa kushinda ila mmeshinda kwa bahati tu,
 
Kufungwa na BB si tatizo....tena ukizingatia timu yenyewe imecheza mechi 5 au 6 mfululizo bila kufungwa. Lakini timu yetu sisi inatia aibu bin kinyaa, yaani tunafungwa fungwa ovyo kama changu anaejiuza! kusema kweli Arsen wenga na Arsenal yake wameniboa
mpaka basi!. Hao MAN U ndiyo wametugeuza kama timu yao ya kuja kuchukulia mazoezi ili wakacheze na Liverpol au Barca
Tatizo let ni AW na mfumo na si kingine.........

Binafsi naumia kama unavyoumia wewe lakini ndo malipo ya KUPENDA hayo.........A

Always a gunner.......
 
OX leo kathibitisha ni makaree!! sasa gervinho akirudi sijui itakuwaje...
 
Ng'ombe hazeeki maini......lol

Safi sana TITI..........Mfalme wa ukweli wa washika bunduki
 
Wakuu hongereni sana kwa kushinda ila mmeshinda kwa bahati tu,
Yaani goli 7 zote za kubahatisha..........

Ina maana nyie mlivyotufunga 8 zilikuwa za kuahatisha?......

Ama BR walipowafunga 3 zilikuwa za kubahatisha?........
 
Yule babu huwaga akosi maneno hata siku moja....lakini kwa mpenzi wa Arsenal mwenye akili timamu hawezi kuzuzuka na maneno ya
Wenger
Ningekuwa na uwezo ningemfukuzia mbali AW........Lakini ndio hivyo tena,hakuna jinsi inabidi kufa kijerumani tu na tai shingoni....

Arsenal: Together We Stand
 
huyu dogo huyu... duh


429075_161750977273008_100557246725715_251661_1460232407_n.jpg

 
Kumbe tulikuwa hatushindi kwa sababu ya Ramsey!! Yule dogo ana kimavi!!
Ramsey ni tatizo kubwa sana Arsenal......Mara nyingi ndiye amekuwa akitukosesha ushindi....

Tatizo la AW hatabiriki,usishangae akaendelea kumng'ang'ania huyo Ramsey kama anavyomng'ang'ania Arshavin
 
Back
Top Bottom