Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huu uzi wa Away siukubali kabisa!!!! Utafikiri siiangalii Arsenal bana!!!!
 
Ok!!! U r possibly ryt!!! Lakini mwache acheze kuliko RAMSEY.... besides Bent Hayupo!!!!!
Labda atakuwa ameshabadilika! Walcot ndio naona mchezo wake ni wa kubahatisha. Kama leo anaharibu tu!
 
Naanza kuamini maneno ya RVP... Lets not expect much from the Lad OX!!! So far the kid is UNSEEN!!!!
 
OX!! Lunyamila saaana..... Anakwenda... anakwenda,,, Anapiga chenga............................................................ Nini mbwembwe????
 
Per huwa ana burudani sana..... ye akipata mpira wala hataki makuu!!! hapo hapo anatoa pasi...... Hajui mambo ya Chenga wala nini!!!!
 
na huu uwanja jamani, hauna tofauti na ule wa mtaani kwetu
 
Yaani hakuna kabisa Move ya Goli.... Na Sunderland ni kama wamesha paki basi......
 
hapa nadhani inabidi nitumie mbinu za kiafrika (kibongo esp.) Nabana kende zangu... Koz hali ni mbaya.............
 
Back
Top Bottom