Kule Barca anajipakulia minyama tu.Hapo kwenye mapenzi na kai nakuelewa, ila kiukweli jesus ndio likuwa striker bora zaidi kwetu, ni kweli ana changamoto ya majeruhi, ila hata alipokuwa fiti hakuwa akipewa nafasi tena..
Arteta kuna muda dishi lake linaeleke magharibi
Mzee mie namuamini jesus, ni bonge la player, hasa kwa kizazi kilicholosa namba 9 mnyumbulifu.. sio roboti gyokeres, mzee wa kontro chumba na sebule wala huyu kai anaekimbia kama ana kinyesi matakoni ambae anamfikia jesus, ni basi tu arteta ni mwezi mchangaKule Barca anajipakulia minyama tu.
Hakika. Ila Arteta.Mzee mie namuamini jesus, ni bonge la player, hasa kwa kizazi kilicholosa namba 9 mnyumbulifu.. sio roboti gyokeres, mzee wa kontro chumba na sebule wala huyu kai anaekimbia kama ana kinyesi matakoni ambae anamfikia jesus, ni basi tu arteta ni mwezi mchanga
Tulishavuka kumtegemea jesus,kama striker wetu,kwa sababu ya face tuliyoingia,Jesus alikuwa false 9,Ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kuchukua mpira chini kupeleka mbele,sasa tupo kipindi team zinacheza low block sana zidi yetu,anahitajika mtu anayeweza kupeana mbavu na mabeki na kufanya movement za akili,hapo ndio king kai anaingiaHapo kwenye mapenzi na kai nakuelewa, ila kiukweli jesus ndio likuwa striker bora zaidi kwetu, ni kweli ana changamoto ya majeruhi, ila hata alipokuwa fiti hakuwa akipewa nafasi tena..
Arteta kuna muda dishi lake linaeleke magharibi
Kai nini? Kupeana ubavu na kufanya movements za akili !!? 🤣😂Tulishavuka kumtegemea jesus,kama striker wetu,kwa sababu ya face tuliyoingia,Jesus alikuwa false 9,Ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kuchukua mpira chini kupeleka mbele,sasa tupo kipindi team zinacheza low block sana zidi yetu,anahitajika mtu anayeweza kupeana mbavu na mabeki na kufanya movement za akili,hapo ndio king kai anaingia
Ana upuuzi wakati mwingine.. sijui ndio kiburi hata sielewiHakika. Ila Arteta.
Tumeshatoka kwenye mpira wa kufinya na kupunguza,baada ya hapo unafanya nini ? hivi unajua pale arsenal hakuna goal pocha mzuri kam EZE? lakin siunaona mechi nyingi anaanzia nje ? umeshajiuliza ni kwa nini ?Kai nini? Kupeana ubavu na kufanya movements za akili !!? 🤣😂
Unataka kuniambia jesus hana hivyo vitu, hana movements za akili, tena jesus kawazidi hawa, mali ipo mguuni, katika nafasi ndogo, anaweza akafimya, akapunguza beki, akapiga pasi.. game nyi.gi sana kafanya haya mambo, hakuna namna utanisilimisha mie niamini kai ni bora zaidi ya jesus.. game na bayern kama sikosei alifinya na kuachia mali ndani ya box..
Jesus ni complete striker kwangu mimi
Huyo unaemuongelea hapo ameisaidia timu kushinda taji la PL kwenye msimu wake wa kwanza. Have some respect bro.Striker wetu Victor Ana goli ngapi hivi msimu huu...... humu mmeandika makala,magezeti mengi sana na mapambio kumsifia.....
Kocha wenu Arteta keshaanza kuona hamna mchezaji humu, siku hizi analamba mbao ndefu ..... mwanzoni mlimtetea sana, ooh hata kama hafungi ni mzuri kwenye link up, pia anasaidia defensively......mtu EPL ilishamshinda, kaenda huko farmers league kafunga magoli 50 mkamkimbilia sio ??
Kai kichaa, inabidi kocha ampange tu hivo hivo hakuna namna !
"We could have won EPL if we started a season with Carrick "...Haya this season wameanza nae.Nyumbu wanachekesha kama sio timu yako 😀😀
View attachment 3670402
Unasema nini mkuu, mpira hautakuja kutoka huko kamwe, a good attacking player, lazima awe na ball controll nzuri, aweze kucheza katila tight space, mzuri 1 vs 1, awe na iq ya boli etc..Tumeshatoka kwenye mpira wa kufinya na kupunguza,baada ya hapo unafanya nini ? hivi unajua pale arsenal hakuna goal pocha mzuri kam EZE? lakin siunaona mechi nyingi anaanzia nje ? umeshajiuliza ni kwa nini ?