Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo tumeokota kibonde....binafsi wala sishangilii sana,kama timu yetu ingekuwa mzuri kwanini wasiifunge MAN U na MAN CITY?

na hapo ndo The Special one anapokuwa juu v/s Barça, head to head anapoteza,
ila ligi yuko 7 points ahead. Kama timu is progressing, kuzifunga Manure na ManShit hakuna ulazima.
Ajabu kwa Arsenal yote yamekosekana.
 
Hatujawapiga la 7 tu?
ESPN wanachelewesha updates bana...
 
Leo naona mmekuja mashabiki wa Arsenal last game mlikimbia jukwaaa....
 
Shame on you hater come out of the cave and say something, You know who you are!
 
Henry toka ameingia mpira umeharibika. Game kama hii ingetakiwa aingie Park
 
Yaani kweli leo RAAAAAAAAHHAAAAAAAAAAAAAA saaanaaaa..... 7-1 safi kabisa TITI....................
 
Amesahau kwamba hawa Blackburn waliwafunga 3-2
Kufungwa na BB si tatizo....tena ukizingatia timu yenyewe imecheza mechi 5 au 6 mfululizo bila kufungwa. Lakini timu yetu sisi inatia aibu bin kinyaa, yaani tunafungwa fungwa ovyo kama changu anaejiuza! kusema kweli Arsen wenga na Arsenal yake wameniboa
mpaka basi!. Hao MAN U ndiyo wametugeuza kama timu yao ya kuja kuchukulia mazoezi ili wakacheze na Liverpol au Barca
 
Leo naona mmekuja mashabiki wa Arsenal last game mlikimbia jukwaaa....
Ya Ngoswe............

Mashabiki wa Arsenal siku zote tupo hapa,iwe mvua liwe jua,siku zote tunakuwa pamoja.......Sio kama ninyi Man Utd ama Chelsea(isipokuwa Mfarisayo na Peasant)......,mnaonekana mkishinda tu......

Arsena: Together We Stand
 
Back
Top Bottom