Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahahah lol! Mkuu Mbu vipi tena banaaaa unataka aje afungishe goli banaaa? lol!
3-2 Arsenal 🙂🙂🙂
 

...mnh, ile sio penalty bana, bent kaugusa mpira au?...anyway,....

godbless rvp!
​
 
Koscielny ni mzuri sakiwa mbele ama katikati....Ni kama ilivyo kwa Verminator....
 
hahahahahah lol! Mkuu mbu vipi tena banaaaa unataka aje afungishe goli banaaa? Lol!
3-2 arsenal 🙂🙂🙂

...aaaa bana, he's our "saviour!"...russian capitaine!
 
wanaweza wakarudisha hawa jamaa 2cpokuwa makini maana wana counter nzuri sana halafu Arsenal wamesharidhika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom