Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Boo boys baada kushangilia sasa wako kimya wala siwasikii kabisa, lakini tukifungwa hapo zomea yao inasikika uwanja mzima. Wana boa kinoma inabidi wawape nguvu wachezaji.
 
ngoja niendee 5000 yangu kesho nyie niambieni tu zimebaki ngapi maana nisije liwa 1000 yangu... OC time plz!
 
hahahahaha lol! Haya Mkuu wache tubebwe lol!!!! Mzima wewe lakini? 🙂

Mkuu kabisa aisee mechi kama hii goli tatu ni impossible, hahaha ila mmeshashinda hii game, pia me mzima mkuu wangu sijui wewe pande zako salama lakini??
 
...jumapili imeisha vizuri, baada ya badpatch, ...tuelekeze nguvu kwenye champions league sasa maana siye ndio tegemeo kwenye jukwaa hili la michezo, hakuna mwakilishi mwingine baada ya man u na man city kutolewa! hehehe...
chelsea wananikodolea...!

ARSENAL, Together we stand,.....
 
ushindi ushindi tu ila kikosi chetu bado saaaana yaani.... tunasafari ndefu ... ila hongera Goonerz!!! haters uwanja wenu ongeeni sasa game ishakwisha

Ushindi wa penalt sio ushindi mkuu mna safari ndefu sana
 
Mkuu kabisa aisee mechi kama hii goli tatu ni impossible, hahaha ila mmeshashinda hii game, pia me mzima mkuu wangu sijui wewe pande zako salama lakini??

Mie niko poa kabisa Mkuu namshukuru Mungu. Vipi nikutumie card mkuu ya kujiunga na chama letu la GUNNERS!? 🙂🙂
 
...jumapili imeisha vizuri, baada ya badpatch, ...tuelekeze nguvu kwenye champions league sasa maana siye ndio tegemeo kwenye jukwaa hili la michezo, hakuna mwakilishi mwingine baada ya man u na man city kutolewa! hehehe...
chelsea wananikodolea...!

ARSENAL, Together we stand,.....

Mkuu mwaka huu hampati kitu hata kimoja bora mkomalize hiyo FA CUP
 
Back
Top Bottom