Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Henry for Walcott? Mkubwa aende kushoto, na Ox aende Kulia. Nafasi ya Ramsey aje Benayoun au Sagna hili Coquelin aende kati.

Maoni yangu tu sijui Wenger anayapi.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaa, like peeing on your pants???

...haki ya mungu sawa sawa na sensation hiyo aisee!...it's kinda weird lakini acha tu niseme ukweli...
nadhani hii ishawakumba sana wale seasonal ticket holders wanaoshangilia mpaka last game ya team yao
ilipokuwa relegated...

kwangu mie sasa, Arsenal ishinde au isishinde hakuna tofauti yeyote....Time for Arshavin plizzzzz!
 
Arshavin anaingia tukiwa 2-2
 
Back
Top Bottom