Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu poleni sana naona mambo sio mambo. Tungoje second half labda jamaa wataamka
 
Counter attack ya nguvu jamaa wamepiga na goli lao zuri.

Kazi tunayo, watu inabidi wajaribu madongo ya mbali pia, na tukumbuke golini yuko Given

...actually, am getting a weird pleasure na KIPONDO cha leo,...dahhh?
 
Mlima umekua mrefu.

Na hao mafala wanaozomea uwanjani baada kuipa timu moyo kwa kushangilia toka mwanzo wanasubiri matatizo ndio wazomee. Wachezaji wetu mpaka wanajiona hawako nyumbani.

Tuko relaxed sana tatizo letu lakini tutarudi.
 
Maumivu ya kichwa huanza poole pole.......

Inahitaji moyo wa chuma kuwa shabiki wa Arsenal zaidi ya hapo itakuwa presha kila siku....
 
Yangu macho..jana mmepiga sana kelele..mzee wa khekhekhe naona yupo ICU
 
Kuangalia mchezo wa arsenal ni kujitafutia ugonjwa wa moyo...
 
tunaweza tukarudi kaka ... hawajashinda villa wanaongoza ...

kurudi inawezekena ila kwa juhudi binafsi za wachezaji uwanjani.wanatakiwa waji2me kupita kiac huku hawafanyi ujinga kwenye goli lao ambacho ki2 kigumu sana kwa wachezaji wa Arsenal wa sasa...let gives hope yatarudi
 
Back
Top Bottom