Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hayahaya sasa minutes to kick off.Kila la heri vijana wa Wenger kama mlivyotutakia kila la shari jana lakini mkaishia kuungana na vijogoo.
 
Coquelin anakamuaga sana pale beki mbili kule. Hakuna matata leo.
 
[h=6]Team in full: Fabianski, Coquelin, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen, Song, Ramsey, Rosicky, Walcott, Oxlade-Chamberlain, Van Persie.

Substitutes: Szczesny, Sagna, Arteta, Benayoun, Arshavin, Park, Henry.
[/h]

kikoc kizuri ila cna imani na golikeeper
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
kikoc kizuri ila cna imani na golikeeper

....huyu keeper FABIANSKI mwenyewe anajiona ni mbora kuliko wengine wa arsenal kwa sasa,
goli alilofungwa hapa la kona typical magoli anayofungwa yeye, achilia mbali yale ya bloopers kama
za Robert Green...lol
 
Sasa tunaweza kuamka

...umeshtukia ee? ARSENAL hii mpaka wapigwe ngumi ya pua na kunusa damu ndio wanachangamka, na mara nyingi hushinda match za aina hii, lakini tukifunga sie mwanzo...utadhani tumelogwa vile...
 
...umeshtukia ee? ARSENAL hii mpaka wapigwe ngumi ya pua na kunusa damu ndio wanachangamka, na mara nyingi hushinda match za aina hii, lakini tukifunga sie mwanzo...utadhani tumelogwa vile...
Yaap,wanapenda. Kusinzia sana.
 
Counter attack ya nguvu jamaa wamepiga na goli lao zuri.

Kazi tunayo, watu inabidi wajaribu madongo ya mbali pia, na tukumbuke golini yuko Given
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom