Kamtoa chamberline, hivi huyu Wenger amelogwa????? Huyu mzee bogus sana!!!!
Yaani leo kila mtu amemshangaa AW kwa upumbavu alioufanya wa kumtoa AOC na kumuingiza ASHA BOKO....
Anakera sana huyu mzee
Muuaji JI Sung Park anaingia......
Namuogopa sana huyu mtu
Muuaji JI Sung Park anaingia......
Namuogopa sana huyu mtu