Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Natumaini mko poa gooners. Timu nakua kama siielewi elewi!

Kwa kweli ubingwa tusahau, nafasi ya nne itakua mbinde ila inawezekana sana.

Tumekua hivi siku hizi!

Lakini ndio timu yetu na AW wetu, hatuna cha kufanya! Its very frustrating indeed....
 
Wachezaji kama Djorou,Arshavin,Ramsey,Walcot,Chamakh hawastahili kuchezea Arsenal,Cahili ni bora kuliko huyo Merteseker

Lini ulikuwa manager wa timu wewe? Phew! some people sound like . .. .... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
 
habari za masiku mengi mkuu wacha1

Shabiki wa msimu upo? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee laana ya fedha chafu itawatafuna mwaka huu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si umesikia De Jong ameshindwa kazi?
 
Natumaini mko poa gooners. Timu nakua kama siielewi elewi!

Kwa kweli ubingwa tusahau, nafasi ya nne itakua mbinde ila inawezekana sana.

Tumekua hivi siku hizi!

Lakini ndio timu yetu na AW wetu, hatuna cha kufanya! Its very frustrating indeed....

mkuu usijali we will bounce back ... have faith ..mwanzo wa msimu ilikuwa hivihivi soon kina Wilshire na arteta , sagna , Santos ... plus gervinho akirudi .. majirani watatufuta kwa microscope...
 
Kesho nitaangalia game moja tu...Man City Vs Totenham, baada ya hapo nazima simu zote!
Mtanipa matokeo ya Arsenl Vs Man Utd Jtatu nikiwa ofcni
 
[h=1]Team News: Vermaelen, Arteta, Henry, Sagna[/h]Arsène Wenger has revealed the latest team news ahead of the Manchester United game:

on Thomas Vermaelen (calf)
At the moment I don't think he will make it for Sunday. Let's hope we have a good surprise. Let's see how he develops. There may be a test. At the moment we just go day by day but he looks short.

on Mikel Arteta (calf)…

He has no chance. The earliest for him is Aston Villa.

on Thierry Henry…
He will have a test on Saturday. He has a calf problem.

on Jack Wilshere (ankle)…
There is positive news about him because he is back to running after he had a little setback with the inflammation of his bone. He is able to go outside and practice but he is a few weeks away.

on Bacary Sagna (ankle) and Kieran Gibbs (groin)...
Both of them are about two to three weeks away.

on Francis Coquelin (hamstring)…
He is three, four or five days away from full training. I did not see him on Thursday but he is not far away. He could be available for Aston Villa.

on Lukasz Fabianski...
He is fit again.

on Carl Jenkinson (back)…

He is like Wilshere. He is back running but it will be a few weeks.

on Andre Santos (ankle)...
He is two months away. He is progressing well. We planned 12 weeks and he is on schedule.

Team News: Vermaelen, Arteta, Henry, Sagna | News Archive | News | Arsenal.com
 
[h=1]Wenger: I'll assess left-back options after Sunday[/h]By Chris Harris

Arsène Wenger will assess his options at left-back after the Manchester United game.

The Frenchman has been without four frontline full-backs since Andre Santos joined Kieran Gibbs, Bacary Sagna and Carl Jenkinson on the sidelines on December 6, and injuries to Thomas Vermaelen and Francis Coquelin have aggravated the problem.

Wenger has a little over a week to bring in a replacement before the transfer window closes but, for now, he has nothing to report.

"Before Sunday's game nobody will come in so we will have now to focus on the players [we have]," said Wenger.

"I will assess the situation after the game on Sunday but until then nothing will happen now for us."


'I'll assess left-back options after Sunday' | News Archive | News | Arsenal.com
 
Poleni sana naona mko kwenye civil war.

Hahahahah lol! Hapana yale mambo ya Simba na Yanga ya kuzimiana sigara kwenye mapaji ya uso 🙂 hayapo hapa, ila huyu AW anaudhi sana katika maamuzi yake mengi ya usajili, substitutions na upangaji wa timu hivyo tunajaribu kuwekana sawa tu.
 
Kesho nitaangalia game moja tu...Man City Vs Totenham, baada ya hapo nazima simu zote!
Mtanipa matokeo ya Arsenl Vs Man Utd Jtatu nikiwa ofcni

...Gangamala bana,...ushahidi wa kuhadithiwa sio kama wa kuona mwenyewe...

Have faith kaka, have faith!
 
Back
Top Bottom