Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...Gangamala bana,...ushahidi wa kuhadithiwa sio kama wa kuona mwenyewe...

Have faith kaka, have faith!

mpe moyo tu bora mtoe droo kwani mfarisayo atajaza snap za magoli mpaka mchanganyikiwe
 
...Gangamala bana,...ushahidi wa kuhadithiwa sio kama wa kuona mwenyewe...

Have faith kaka, have faith!
Thanx kwa busara zako Mbu!
Itabidi nikae tu mbele ya screen nione kitakachotokea!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
[h=1]Wenger: I'll assess left-back options after Sunday[/h]By Chris Harris

Arsène Wenger will assess his options at left-back after the Manchester United game.

The Frenchman has been without four frontline full-backs since Andre Santos joined Kieran Gibbs, Bacary Sagna and Carl Jenkinson on the sidelines on December 6, and injuries to Thomas Vermaelen and Francis Coquelin have aggravated the problem.

Wenger has a little over a week to bring in a replacement before the transfer window closes but, for now, he has nothing to report.

"Before Sunday's game nobody will come in so we will have now to focus on the players [we have]," said Wenger.

"I will assess the situation after the game on Sunday but until then nothing will happen now for us."

'I'll assess left-back options after Sunday' | News Archive | News | Arsenal.com

Hahahahaha!! Kwa hiyo Man U ndio wamekuwa kipimo chenu siku hizi?!! Wenger aligoma kununua wakati wa summer mpaka mlipopigwa 8-2 ndio akakimbilia sokoni siku ya mwisho....kwa hiyo kesho tena mkichapwa anaingia sokoni kununua left-back.
 
Hata mimi namshangaa huyu mzee......

Wenger haishi vituko.......Hawakosei wanaomwita Mr Bean......lol
 
Hata mimi namshangaa huyu mzee......

Wenger haishi vituko.......Hawakosei wanaomwita Mr Bean......lol
Namsubiri alete ujinga wake kama alivyozoea halafu baada ya mechi alie na kuinamana kama anacheza Makhirikhiri!
 
Msihofu leo hatutawafunga goli nyingi kama mechi iliyopita. Nadhani tumagoli tuwili tutawatosha.
 
Hata mimi namshangaa huyu mzee......

Wenger haishi vituko.......Hawakosei wanaomwita Mr Bean......lol

Namsubiri alete ujinga wake kama alivyozoea halafu baada ya mechi alie na kuinamana kama anacheza Makhirikhiri!

...kuna tatizo nalifikiria kuhusu huyu mzee ambalo huwapata wazee wengi wa kizungu, ila nadhani tumpe muda kidogo. Vito Mannone amejiunga na Hull on loan mpaka mwisho wa msimu, kisha hapa nasoma;

Arsenal boss Arsene Wenger will allow Lukasz Fabianski to leave the Gunners on loan this month as the goalkeeper looks to rescue his Euro 2012 dream.

...in Arsene Wenger I Still Trust... :A S-coffee:
 
...kuna tatizo nalifikiria kuhusu huyu mzee ambalo huwapata wazee wengi wa kizungu, ila nadhani tumpe muda kidogo. Vito Mannone amejiunga na Hull on loan mpaka mwisho wa msimu, kisha hapa nasoma;

...in Arsene Wenger I Still Trust... :A S-coffee:

Hofu ondoa kamanda wangu. You still have a legend in the name of Almunia in your side, and remember you can always call back David Seaman or Lehman....lol.
 
Hofu ondoa kamanda wangu. You still have a legend in the name of Almunia in your side, and remember you can always call back David Seaman or Lehman....lol.

hahahaha....we acha tu kaka...!
waswahili wanasema
"heri ya nusu shari kuliko shari kamili...!"
 
Hahahahaha!! Kwa hiyo Man U ndio wamekuwa kipimo chenu siku hizi?!! Wenger aligoma kununua wakati wa summer mpaka mlipopigwa 8-2 ndio akakimbilia sokoni siku ya mwisho....kwa hiyo kesho tena mkichapwa anaingia sokoni kununua left-back.
Anaweza kufanya hivyo manake bangi zake anazotumia anajua mwenyewe.

Yeye anategemea waliokuwa kwenye injury wakipona ndio watakuwa new signing zake, kwhaio kwa sasa hivi kupoteza points sio tatizo kwake tunawasubiri wakina Varmelen na Wilshere warudi.

Ndio timu yetu tushaona mueleko wetu huko wapi na sisi tunajaribu kuzoea .
 
nimeweka kambi mapema.. sitoki leo hapa hadi kieleweke...
 
Back
Top Bottom