Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo angekosa pale ningeenda kumpiga vichwa ndani ya Tv leo lol


Sijamaliza hata kuandika. Tumefanya Ujinga.
 
Noma, ila muda bado...DK ni ya 70, game ni very entartaining...
 
Haya chambarlain huyo anasubiri kuingia, ndhani fo Walcott...
 
Chamberlain anaingia sasa.....

Dah......Mertesacker nje

Song anarudi mkoba
 
No, anaingia for Metersacker,lile goli alilokosa kweli maudhi, wenzie kina Terry na yule mbrazili Louis huwa wanafunga...
 
Back
Top Bottom