Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger anatania sana. Kaenda. Kukaa peke yake sijui anawaza nini pale. Sijui anafikiria mda unamsubiri yeye nao.
 
Henry akiwa hapo mbele hata viuongo wanajuwa namna ya kummegea as you know jamaa anajuwa kufungua...

Goli la juzi dhidi ya Leeds kwenye FA cup ilikuwa pande la Song...
 
Dyer kashafunga...

Nilijuwa linakuja, Wenger kachelewa utaona sasa ndo anaingiza sub...

Mijitu mingine mibiishii!
 
Bado naona hawajaamka tu lol, huyo Dyer shida tupu..

Si unaona sasa Henry anavyo change fasta?

Wenger bana!
 
Hapa double. Change lazima wakuu.

Mie naona Arshavin na Walcott watoke aje henry na Chamberlain. Bench kule sijui nani aje anaeweza kukaba pale kati achukue nafasi ya Benayoun.
 
2mechanganyikiwa mpaka bac...waki2mia vizuri muda huu 2liochanganyikiwa wanaweza wakapata goal jingine
 
Back
Top Bottom