Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuko pamoja wakuu.

Naona tupo tupo, wala hatuna muelekeo wowote ule na hatuoneshi nia ya ushindi.

Mechi muhimu sana hii kushinda.
Tatizo liko kwenye kiungo pale kati....Song hana msaidizi,Benayoun yupo yupo tu....

AW asipofanya mabadiliko mapema 2nd Half tunaweza kufungwa mechi hii....

Sijui ni kwa nini hataki kuwaanzisha Chamberlain na J.Y Park
 
Tatizo liko kwenye kiungo pale kati....Song hana msaidizi,Benayoun yupo yupo tu....

AW asipofanya mabadiliko mapema 2nd Half tunaweza kufungwa mechi hii....

Sijui ni kwa nini hataki kuwaanzisha Chamberlain na J.Y Park

Kweli mkuu. Hii game kwa mazoea yetu tunaweza kulala kama sio draw. Tunashindwa ku-force tupo relaxed sana.

Wenger hajiamini na sasa kabaki tu analazimisha wachezaji kama Arshavin kwa kutegemea atafanya maajabu. Arshavin hastahili kuanza kabisa; dogo Chamberlain kasi yake inasaidia sana kuongeza mashambulizi.

Na kwa tabia ya Wenger kufanya mabadiliko dakika 70 tunaweza kulala kama ulivyosema.
 
Haka ka Ramsey haka......

Kanatucost sana......Kamesababisha Penati na hakuna lolote kanalofanya uwanjani
 
Ni kuzidiwa kwa kuitakia Mich....

Tumekoswakoswa......Kipa wetu kadaka....

Naelewa sana Bala...mi leo sitaki kabisa mpira,naona nikishuhudia tukifungwa ndo huzuni nyingine nazo zitaamka zaidi....nitapita baadaye kuangalia mechi.... all the best Arsenal!!
 
yaani we acha tu.. kipindi cha pili wafanye mambo
Wenger ni mgumu sana kwenye kufanya mabadiliko(sub) ya mapema....

Yeye zake ni kuanzia dakika ya 70 na kuendelea.......Anaamini katika MAAJABU...
 
Kuna wachezaji wenye uwezo AW kawaeka benchi sijui kwanini afanyi sub mapema anategemea maajabu hajui hata kuusoma mchezo. Arshavin anakimbia huku anangalia chini sijui anangalia mpira jamaa kushney kabisa. Hope tutashinda
 
Nashangaa kwanini Wenger hamwingizi TH 12 AKA TH 14?

Nimefurahishwa sana na kurudi kwake, i was anticipating watching him a little earlier than Wenger's wishes!

Naona ana warm up, cant wait lol
 
Pia nimefurahishwa sana na kurudi kwa Michael Essien huko Stamford Brirdge.
 
Leo Swansea ndo wanatandaza kandanda safi utadhani wao ndo Arsenali lol
 
Back
Top Bottom