Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kipindi AW huwa anaboa sana katika upangaji wa timu....

Walcott, Ramsey, Benayoun, na Arshavin hakuna lolote wanalofanya uwanjani, wanakimbiakimbia tu....
 
Kona nyingine hiyo kuelekea langoni kwetu....

Inaokolewa but bado twashambuliwa......
 
Tumekoswakoswa.....

Safi sana RVP....

Ningekuwa AW ningefanya mabadiliko ya mapema badala ya kujikunyata tu pale kwenye benchi
 
Pengo la Arteta linaoneka dhahiri....

Ni bora Wenger angemuanzisha Rosicky pale kati badala ya Benayoun
 
Tuko pamoja wakuu.

Naona tupo tupo, wala hatuna muelekeo wowote ule na hatuoneshi nia ya ushindi.

Mechi muhimu sana hii kushinda.
 
Back
Top Bottom