Foul ya kijinga ya Johan Djourou imetugharimu leo..............
Yametimia
Mpira umeisha
Fulham 2-1 Arsenal.........
Poleni Gunners wenzangu......Usiku mwema
Arsenal: Together We Stand...............In Arsene I Trust
They need another good striker soon if they want to keep their title hopes alive. RVP is known to be injury prone so sio wa kutegemewa kucheza game zote mpaka May
Haruwezi kucheza EPL namna hii kila mechi inasaidiwa na uamuzi mbovu wa marefaree, we definitely need technology.
Foul ya kijinga ya Johan Djourou imetugharimu leo..............
Yametimia
Mpira umeisha
Fulham 2-1 Arsenal.........
Poleni Gunners wenzangu......Usiku mwema
Arsenal: Together We Stand...............In Arsene I Trust
...Almunia arudi golini sasa...kipa keshaanza jisahau huyu nae sasa...
...Almunia arudi golini sasa...kipa keshaanza jisahau huyu nae sasa...
Wewe wacha, game ilikuwa imekaa hovyo mno leo, anyway, sidhani kama gooners mtapiga kelele za "new signings"?!
Ilikaa vibaya toka mwanzo, sishangai.
Tujikusanye tuuendelee na safari ya kuwa wanne sasa!
I am so f*****g dissaponited!
Too low for a JF Senior Expert Member na mwanamichezo wa kweli kama wewe jirani......Team van Pussy....van Pussy
Kwangu mimi halijaniuma jirani maana(kama umefuatilia post zangu) nilijua ni lazima tutafungwa hata kabla Djourou hajatolewa kwa red card...Timu yetu leo haikucheza mchezo wa ushindi,tulikuwa tunaruhusu mashambulizi sana na Bobby Zamora alikuwa tishio sana kwetu pamoja na somebody Louis.....Kwa hakika leo tunastahili kushindwa,hatuna sababu......Refa,alikuwa fair kabisa,ni uzembe wetu katika idara zote,ulinzi,kiungo na forward(Walcott na Gervinho hhhawakuwa na mchango wowotw kwa timu)......Goli la mwisho linauma sana, kama la Man Shitty jana.
Too low for a JF Senior Expert Member na mwanamichezo wa kweli kama wewe jirani......